Zinaa katika uislamu....

Tulia utafakari waukae
Hakuna kitu kibaya Kama Kumdhalilisha Mungu kama Kutamka kwamba MUNGU HAWEZI
na hili litawapa wengi wepesi kwenda jehannam


Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia akili kaka ata ya kuendea chooni tu , Mungu sio dhariri kiasi eti aje apigweee wewe na watu aliowaumba eti ndio akomboe watu hao hao, hili ata mtoto wa chekechea analijua , Mungu wa kweli haitaji kutemewa mate na viumbe wake toka huko huu ni utovu wa nidhamu kwa muumba wa mbingu na nchi
 
Unaposema Mungu anaweza kufanya lolote, halafu unaulizwa swali Mungu wako anaweza kubeba mimba na kuzaa mapicha ? badala ya kutoa jibu unaanza kuleta mambo ambayo katu ayaendani na ulichoulizwa unastaajabisha sana ahahahaha ahahahhahahhahah
Mimi nijibu kitu ambacho bado kiko sirini kwake
ubavu huo sina waukaye
wewe kama una ubavu sema H A W E Z I labda wewe ni mc wake


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahahaaaahahhahhaaha utetezi wako hauna maana unahuzunisha labda nikuulize swali URIA mhiti alikuwa bwana wa Daudi? andiko linasema Mungu amempa Daudi WAKE ZA BWANA ZAKE , wewe unatuletea habari ya Daudi kumuua Uria mhiti ambaye alikua ni askari tu wa kawaida wala hakuwa bwana wa Daudi ,unajificha kwenye vioo Ahahahahaahahaahaha
2 SAMUEL 12:7-8
7";Basi Nathan akamwambia Daudi, wewe ndiwe mtu huyo. Bwana Mungu wa Israel , ASEMA nalikutia mafuta , uwe mfalme juu ya Israel, nikakuokoa na mkono wa Sauli;
8" NAMI NIKAKUPA nyumba ya wako, na WAKE ZAO bwana wako kifuani mwako; NIKAKUPA nyumba ya israel na yuda; na kama hayo yangalikuwa machache , ningekuongeza mambo kadha wa kadha";

Mambo aliyopewa Daudi na Mungu wake
1.Nyumba ya bwana wake
2.WAKE ZA bwana wake(ni wengi sio mmoja )
3.Nyumba ya Israel
4.Nyumba ya yuda

Tena akapewa na ofa kama avitoshi angemuongeza vingine , wewe bila aibu unatuletea kisa kingine ambacho daudi akupewa aliua askari wake ili achukue mke ,vitu tofauti kabisaaaaaaa ahahahhahahaah ahahahhha ahaahhhhhahaha
 
Hawa wajinga hawajui kuwa 'Manabii' wote ni watu wema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

waukaye inawezekana mwenzetu unajua siri zoote za allah
uwe unatumwagia humu mtu wangu
siri mojawapo Ambayo inatakiwa uimwage humu ni siku utakavyo kufa na asbab utakavyo pelekea kufa kwako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nafahamu kuwa Allah ndie anaetoa amri ya mimi kufa, kama anavyojua watoto waliopo tumboni mwa mama zao, mimi nafahamu Allah hawezi kubeba mimba kwa sababu viko nje ya kanuni zake, wala hawezi kupigwa makofi kwa sababu ni nje ya kanuni na utaratibu , Allah hawezi kudharirishwa na viumbe wake, wewe ndio utuambie Mungu wako anaweza kudharirishwa mfano kutemewa mate pteuuu kama kinyesi, braza huo ni utovu wa nidhamu na kukosa heshima ili aliitaji ufike university liko wazi, binadamu wa Mungu, moto wa mungu, shetani wa Mungu, mbingu ya Mungu, sasa Mungu aje achezee kichapo kwa faida ya nani ?huu ukweli mchungu kumeza
 

Hayo mbona wote tunayajua bro! Hili Akili Tufunulia Mungu mbona husemi
hii sio siri tena


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasema Mungu kwa kinywa cha Yohana


Sent using Jamii Forums mobile app
Onesha huo mstari Mungu akisema kwa kinywa cha Yohana , maana manabii wote walionyesha namna Mungu alivyosema kwa vinywa vyao mfano

Huyu nabii Nathan
2 SAMUEL 12:7
"; Basi Nathan akamwambia Daudi, wewe ndiwe mtu huyo. Bwana Mungu wa Israel , ASEMA HIVI, nalikutia mafuta , uwe mfalme juu ya Israel,nikakuokoa na mkono wa Sauli;


Ahahahahaaaahahhahhaaha haya tuonyeshe wapi " ASEMA" ahahahahahaahajajajaj unaleta usanii hapa, maneno yenu mnamsingizia Mungu
 

BIBLIA TAKATIFU haikuandikwa Apendavyo mtu masudi ilaha
Tunajadili Maandiko waukaye


Sent using Jamii Forums mobile app
 
BIBLIA TAKATIFU haikuandikwa Apendavyo mtu masudi ilaha
View attachment 1006915 Tunajadili Maandiko waukaye


Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahaaaahahhahhaaha umenielewa unaposema Mungu kasema unatakiwa uthibitishe Mungu kasema kwa kutoa andiko lenye neno hili Mungu " ASEMA " nimekupa andiko 2 SAMUEL 12:7 bwana ASEME , badala ya kuleta andiko unaleta siasa ahahahhaahahajaajajjaa ahahahahahhahahaha
 
wee waukaye unachekesha
kwa hiyo Hata popobawa akisema Mungu anasema wewe utaamini Mungu Amesema
nimesha ng'amua ndio sababu mnaamini deen za ajabu ajabu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…