Zinaa katika uislamu....

Kumbe ulipatia hapa

Buhahahahah

Basi tafuta Islami source ya sawa

ni si hawa MASHIA
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa kaka hapa ushahidi wa mut'ah katika aya hii uko wapi ? Embusoma mtiririko wa aya mpaka kufikia aya hii ya 4 katikia surat an-Nisaa.
 

Kaka nataka nikupe faida,ila kwa mtindo wa kukuuliza maswali. Kwanza kabisa hakuna shaka hii ndoa ya Mut'ah iliharamishwa kayika siku ya Khaybar,wadau wameleta dalili za kutosha juu ya hili.

Sasa je unajua masharti ya kukubalika ibada katika uislamu ?
 
naomba umsaidie kunukuu

Labda hajui pa kuanzia,maana ameona sehemu hiyo tu kwa Mashia,akaona amemaliza

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa huwa wasumbufu,tatizo hawasomi na kuna mjinga mmoja kazi yake ni kunukuu tarjama za Qur'an huku kuisoma kwenyewe hawezi,basi haishi kukosea na humu nimeshamuona anaitwa "Mgeni"

Huwa nawaambia wakitaka kusoma wasome kweli na wasijidai wanasoma.
 
Acha hizo Mkuu; ikiitwa ndoa inabaki kuwa ndoa. Kwani kuna ng'ombe sahihi na asie sahihi? Ama atakuwa ng'ombe au si ng'ombe. Hali kadhalika; ndoa au si ndoa.

Kaka jifunze kutoa mifano. Sasa unalinganisha vipi ibada na mnyama ?

Mnyama ni mnyama ameshaumbwa katika umbile lake,na ibada ina nguzo na masharti yake. Ibada ilikuja kwa sababu na baada ya sababu kuondoka ibada ikavunjwa.

Sasa huwezi ukatoa mfano wa ng'ombe isipokuwa ni mjinga.
 

mkuu wewe ni Muumini au muislamu
hebu sona ayat hii halafu kataa sio zinaa

Ref ingekuwa zama huzo unamkuta mkeo Muumini anajipodoa! Unamueleza bibie kunani? Anakujibu naenda JITOA BURE KWA MTUME akirudi utapiga TAKBIR sio


Sent using Jamii Forums mobile app
 
FAIDA NDOGO
kwenu wapinga ukweli

Allah aliposema
نسائكم حرث لكم،فأتوا حرثكم أنى شئتم
Kuna faida kuu mbili
1)Mola wetu alietukuka,amewafananisha wanawake na mfano wa shamba

Shamba hutoa matunda yenye manufaa kwa wanaadam,na ikiwa shamba halitoe matunda,basi hilo si shamba,bali ni pori/msitu/jangwa

2)Mola akutumie tena neno hili(أنى),kwakuwa Quraan imeshuka kwa lugha ya Kiarabu,Basi tuwaulize wenye lugha maana na matumizi ya neno hili(أنى)
Wasomi wa Lugha wanatoa moja ya maana zake ni كيف au كيفية

Tukiangalia mwanzo wa aya na mwisho wake
Tunafaidika kwa haya
Wake zetu,tunapaswa kuwaendea kwa style tunatoka,muda wa kuwa,sehemu tunayoingia,pawe na matunda na faida
na Mtt ni tunda kwako na faida kwa wote

swali
Sehemu ya nyuma
Kuna weza kweli kuwa na faida,na kututolewa matunda mazuri?!!

au ni uchafu tuu

Kabla ya aya hii
Tazama aya ya juu yake

Allah anasema

( ويسألونك عن المحيض قل هو أذى فاعتزلوا النساء في المحيض ولا تقربوهن حتى يطهرن فإذا تطهرن فأتوهن من حيث أمركم الله إن الله يحب التوابين ويحب المتطهرين ( 222 )
Na wanakuuliza kuhusu Hedhi(mwanamke anapokuwa siku zake)Sema kwa kuwaambia,ni uchafu,na jiepusheni na wanawake wanapokuwa siku zao,na wala msiwakurubie mpaka watakapotakasika,na pindi wakitakasika,basi waendeeni pale mlipoamrishwa na Mola wenu,Hakika ya Allah anawapenda wenye kutubia(kuomba msamaha)na anawapenda wale wenye kujitakasa(na mambo machafu)

Tumeamrishwa tuwaendee wake zetu,pale tulipoamrishwa
na tumeamrishwa,tuwaendee pale panapotoa faida na matunda,
nayo ni sehemu ya mbele ya mwanamke

Na Mtume wetu sala na salamu ziwe juu yake anasema

وهو في صحيح الجامع 5865 بل إن النبي صلى الله عليه وسلم قال : " من أتى حائضا أو امرأة في دبرها أو كاهنا فقد كفر بما أنزل على محمد "
Yeyote mwenye kumuendea mwenye hedhi au mwanamke kinyume na maumbile au akamuendea mpiga ramli(mshirikina)Basi hakika amekufuru yale aliyoteremshiwa Mohammad sala na salamu ziwe juu yake

akasema tena

ملعون من أتى امرأة في دبرها " رواه الإمام أحمد 2/479
amelaaniwa mwenye kumuendea mke wake kinyume na maumbile

Kiujumla

Kufanya kitendo cha kumuendea mkeo kinyume na maumbile,ni tendo la laana na hufaaa kukemewa vibaya sana

Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…