Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,021
Nilikuja na Dalili juu ya UHARAMU wa NDOA YA MUT-AA
Hili lipo wazi kwetu na kwao
ila ukweli no mchungu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna aya inayokataza au wewe umeamua kuikataa? Na kama hakuna aya huoni kuwa unakiuka ulichoamrishwa?
Mimi SIJAONGOPA KITU. Proof: hakuna mtu Hata mmoja aliekuja hapa na akatoa ushahidi wa kile nilichozusha, watu walionipa maelezo (ambayo hata kama mtu anaweza
Mimi SIJAONGOPA KITU. Proof: hakuna mtu Hata mmoja aliekuja hapa na akatoa ushahidi wa kile nilichozusha, watu walionipa maelezo ambayo (hata kama mtu anaweza kuwa na maoni tofauti nayo) angalau yana mantiki ni culture gal na Safuha.
mfano mme wa mtu kufanya ngono na mke wa mtu ni zinaa,uzinzi au uasherati?
Ni kweli kila uma una namna yao na sheria yao , lakini hakuna maana kuwa Mungu hawezi kurudia sheria ndio maana adamu alioa mpaka wewe leo unaoa, vilevile amri kumi alipewa musa lakini mpaka Yesu alizitumia hivyo usikariri elewa wewe
Acha utapeli wako hapa jamaa yangu. Wewe umeleta tafsiri, lakini mimi naomba aya ambayo tafsiri hizo ulizoleta hapa inahusika nazo. Kumbuka tafsiri inafafanua aya.
Haya; leta aya mkubwa.
Kwa hiyo kuna hiari ya kufuata au kutofuata jambo katika Uislamu?
Sasa ndio ujiulize kwa nini allah afute kwa kipunjo Amri ya.7lat qarab zinaView attachment 1001012 Aliye Tukaririsha hadi Tusisahau Amri zake ni Mungu Mwenyewe kupitia DHAMIRA NJEMA Aliyo Tuumbia ndani Yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa njia ya picha wengine wanafungukaEbu usitujazie mapicha kama hauna cha kuzungumza kaa pembeni, hakuna andiko wala kitabu kilichokuja na mapicha yako ya ovyo hayo
Waendewni fidubur mbele quburiha nyuma. Yaani allah ameruhusu watu wawe wanasodomiana ndio maana wengine wana mu question ni Mungu kweli?
Mfiaukweli nakushukuru kwa hoja hii nzito. Unzinzi katika ulimwengu wa kiislamu ni mkubwa sana
Kila tawi utakalo rukia nakufuata huko hukoHuyo mgeni badala ya kuleta hoja analeta mapicha , halafu atulii sehemu moja
Kumbe Hata Hujui lat qarab zina ni Amri ya ngapiUnatakiwa useme kuwa selemani kavunja amri ya ngap?
Mafundisho gani mapya Aliyo tumwa afundisheAjawai kusahau anaamua mwenyewe bila shuruti la mtu yeyote
Wewe ulipo msikia huyo sheikh,alikutajia aya ya kuruhusu ndoa ya Mut'a ?
Nimeomba nione palipoharamisha. Na ndugu yangu Safuha kaandika hapo kabla kuwa nikah mut'ah bado inatumika na Mashiah ILA KWAKE YEYE HAIFAI. Ikimaanisha haijakatazwa ila SI LAZIMA kila muislamu aifanye lakini aifanyae SI DHAMBI.