Zinaa katika uislamu....

Kunukuuu ni nini tofauti ya kunukuu ni nini?
 
According to your own books. Nauliza tena, wapi nimeandika UONGO???
Weka hapa Aya mzima ya hiyomy own book!!

Ulipoandika uongo ni hapa:
Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
Ni UONGO kwa sababu, hiyo Quran 4:24 hivi ndivyo inasema:
-TAFSIRI KUTOKA SAHIHI INTERNATIONAL: PICKTHALL TRANSLATION:- YUSUFU ALI TRANSLATION:- SHAKIR TRANSLATION:- MUHAMMAD SARWAT TRANSLATION:- SWAHILI TRANSLATION:- Hizo zote hizo ni Aya za Quran 4:24 na sio article citation from Google! Nimekupa 6 different TRANSLATIONS na kote huko sijaona hayo unayodai Quran kwamba:
Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
Sasa kama sio muongo, hayo maneno umeyatoa wapi?!
 
Soma sahihi bukhari juzuu 6 uk 127 na sahihi bukhari juzuu 5 uk 160
 
We nawe masoud huo sasa ubishi
Umeelewa sasa leta hadithi(Nukuu) , sio maneno ya mshereheshaji, hao washereheshaji ndio wamesababisha mpaka leo kuna wakatoliki, wasabato na walokole, maandiko yana tafsiri nyingi kwa namna ya alietafasiri anavyoona , ndio maana nataka hadithi OG sio maelezo over
 






Soma hiyo.
Kuna tafsiri ya upotoshaji na inayotoka nje ya muktadha wa aya hii ya Qur’an kuhusiana na kadhia ya kumuendea mke katika njia nyingine. “Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Na zitangulizieni (wema) nafsi zenu; na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kwamba mtakutana naye, na wapashe habari njema walioamini.” (2:223)
Aya hii inaashiria mikao mbalimbali ambayo wanandoa wanaweza kuendeana kwayo wakati wa kukutana kiunyumba ambapo inaruhusiwa kwao kukaa vyovyote maadam tu jimai ifanyikie ukeni na si kwenye njia nyingine.
Mafuqaha wengi wametafsiri maneno ‘kuliendea konde’ kama ni kupanda mbegu za uzazi kwa mwanamke kama mkulima anavyopanda mbegu shambani.
Hivyo, kuliendea konde mtu apendavyo hakuna maana ya kutupa mbegu sehemu nyingine nje ya shamba. Njia nyingine ya maumbile haiwezi kuwa konde kwa sababu yenyewe haioteshi au haileti mazao.

"ᴮᵉˡⁱᵉᵛᵉ ʸᵒᵘ ᶜᵃⁿ ᵃⁿᵈ ʸᵒᵘ'ʳᵉ ʰᵃˡᶠʷᵃʸ ᵗʰᵉʳᵉ"
 
acha uhuni

Tuma hapa,ili sote tusome

Kwani tunafanya mjadala mimi na ww tu private?!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona mnakimbia hoja sasa.
Nukuu mnaikataaa
Mara hao mashia waongo kuliko wote dunian
Sasa mnatuaminisha kwamba waislamu mpo sambuli nyingi
Waongo
Wafiraji kwa mjibu wa vitabu vyenu quran 2:223 na hadhithi yake.
Wasio wafiraji kwa mjibu wa matashi yao
 
Wao hawataki haya
Wao na Mashia ni Baba mmoja Mama mmoja,ila hawajuani

Neno la Kiarabu

أنى
lina maana ya

كيفية

Namna/Style

ila kwakuwa,hawapo kusaka ukweli
wapo kushindana

Basi kuna hati hati,ya kutoa amini,mpaka mwisho wa uhai wao

Wao wapo katika ajira ya kupoteza jamii

na si kufundisha jamii
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuambiwa mashia waongo kuna tatizo gani ? mbona hata wakatoliki wanasema wasabato sio WAKRISTO, unajua kwanini ? ukilijua hilo ata hili la mashia alitakupa tabu , hao mashia ni waongo over
 
Hata nyie mpo tofauti

Wakatoliki

Wasabato

nk

Sisi tunataka usahihi

Tuma huja kwa manufaa ya wote
wapo ambao,hawana uwezo wa kusoma au kununua vitabu hivyo

Tunakuomba tena na tena

Itume hiyo Hadithi tu kwa njia ya asili yake
simple

ww kitabu unacho hapo
Na simu pia unayo
Piga picha ukurasa wa Hadithi na Hadithi yenyewe,kisha tuma

na kama huna bando

tutakupa pesa ya bando,ili ututumie Chie

Tunataraji utafanya hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tukiwakataa mashia wanakua wakali, lakini wasabato wakisema wakatoliki ni waabudu masanamu kimyaaa, wakatoliki wakisema wasabato sio WAKRISTO wamedanganywa na yule mama hellen kimyaaaa, wakisema mashahidi wa yehova wamepotoka kimya, yaani awa wanakumbuka ya mashia wanasahau ya kwao, hili ni tatizo sugu
 
نساؤكم حرث لكم

“Wake zenu ni konde zenu…” (Abu Daawuwd)

Na Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) akasema vile vile:
Waingilieni wake zenu Kwa mbele au kwa nyuma lakini epukeni akiwa kwenye hedhi.” (At-Tirmidhiy)
 
Chief Mfiaukweli

Tunasubiri hoja juu ya kubatilisha tuhuma za uongo juu yako

Hakikishia Umma/Jamii
kuwa ww si Muongo

Tuma aya moja tu ndani ya Quraan,inayothibitisha NDOA YA MUT-A

Muhimu tu,uwe na uhakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usianze kashifa kwa sababu huna ubavu wa kui-defend bible! Watu tulikuwa tunakupuuza kwa sababu unaonekana umedandia treni kwa mbele kwa kutojua mada inahusu nini hasa! Sasa unasema Quran inaruhusu kufi'ra, unaweza kutuambia kwenmu wangapi mmef'irwa na Waislamu?
 
Chief
Hili swali,majibu yake yanaweza kuwa mengi sana

Naomba tu,tuliwache kwasasa
samahani lkn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…