Zinaa huleta balaa kwa wahusika?

Zinaa huleta balaa kwa wahusika?

Mambo wanajamvi?
Imekuwa ikisikika kwamba zinaa inanafasi kubwa ya kupelekea balaa kwa wahusika.Yaani ati unaposhirikiana na mtu kimahusiano inapelekea maroho yaliyo upande wa pili kukuingia wewe.Mfano unaposhirikiana na mtu wawezapata mabalaa au mambo Yako yanaweza yasiende tofauti na kabla hujajihusisha na mtu huyo.Hivi kiimani hii ikoje Kuna uthibitisho wa yeyote katika maandiko alipata mabalaa kwa kujihusisha kimahusiano na mwingine au ni kutishana ili kudhibiti mienendo ya watu🎤🎤🎧
Big Uongo
 
NO,

muafrika ni bingwa wa mambo ya kufikirika.

Balaa pekee la zinaa ni magonjwa, kufirisika kama unahonga sana na kuharibu mahusiano kama unafanya ufuska

Haya manuksi mnayoyaongelea yapo tu afrika tena kwa kaya masikini na yanahimizwa ili kuwachanganya ili mpigwe pesa na mashehe wa kusoma visomo na waganga wa kuku mweusi
Yes
 
Ni balaa gani linaweza kukupata na ukathibitisha limetokana na hiyo zinaa?
 
Kama kuongezewa damu ya mwenye HIV nayo ni 0.01% 😁😁

Basi sawa
Iyo ilikuwa zamani sana uwezi kuta ujinga huo sasaiv labda uwe na bifu na huyo doctor au upate kwa kuchangia mswaki au viwembe hakuna ishuu izo pale kati patamu ndo source ya matatizo mengi sana hapa duniani
 
Zinaa inaua akili na kuleta uraibu, mfano unajikuta ukiwazua raha na ulivyopeleka moto badala ya kuwaza mambo makubwa ya maisha, unatumia mda mwingi kufukuzia na kupetipeti mapenzi badala ya kufukuzia ndoto zako akili inakuwa butu unajikuta huwezi ishi bila kupiga k
 
Mimi Kuna wanawake kama watatu ninao nikilala nao tu mambo yangu yanaenda poa sana ila sijawah kuwaambia kwa week lazima nilale na Kila mmoja ko sex per week ni mara tatu
NB;CODE HIYO
 
Back
Top Bottom