Zinaa huleta balaa kwa wahusika?

Zinaa huleta balaa kwa wahusika?

Eeh mkuu hii ni story ya zamani sana, mimi nakumbuka bibi yangu anasema kila kitu kiko na balaa. Sasa wewe unaamini maroho yanaingia? Mimi naona ni imani tu, ila kuna watu wanaweza kuapa kwa nini wanajua... haha. Bali mambo ya afrika ni magumu, ukianza kuongea watu wanaanza kucheka ila ndani wanaamini. Mchango wangu: kila mtu na imani yake, ila usiseme hiyo si kweli mbele ya mzee mkubwa, utasikia story ya jirani yako! Lol.
 
Back
Top Bottom