Zimwi lakata kamba, laanza kuwatafuna waliolifuga

Zimwi lakata kamba, laanza kuwatafuna waliolifuga

Lile zimwi linalofugwa kwa kulishwa maziwa na asali limeanza kuwatafuna waliolifuga habari zilizo tufikia hivi punde wafugaji wa zimwi hilo wanajuta kwanini walilifuga.

Jitihada za kuwaokoa wafugaji wa zimwi hilo zimeshindikana kwa kuwa chumba wanachoishi wafugaji hao wa zimwi ndo zimwi hilo linapoishi.

Mfugaji moja alisikika akisema tulimwambia Mkuu wetu tuliuwe mapema kabla halija leta madhara lakini hakunisikiliza

...tukutane jioni saa 12 kwa taarifa zaidi.

Zimwi likujualo?.........................
 
Aibu kubwa ni kuliwa na Zimwi ulilofuga au kuikimbia nyumba yako uliache zimwi lijinafasi? Mfuga Zimwi kufa KIMENEJA na TAI shingoni.
 
Aibu kubwa ni kuliwa na Zimwi ulilofuga au kuikimbia nyumba yako uliache zimwi lijinafasi? Mfuga Zimwi kufa KIMENEJA na TAI shingoni.

.......NI kupambana nalo likikushinda unajinyonga kama Mkwawa
 
He, he, he, hatari! Duh! Ngoyai, hakukaliki huko, na litawamaliza tu!
 
ngoja nicheke tu.

kichwa cha habari tu, sina mbavu.
 
.....

.....lina mikia mingi na yote ina meno ya sumu
 
Back
Top Bottom