Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
......huu mwaka wa majuto
Huu mwaka wa kuzika bwana..........Wewe subiri kunawatakaokufa kwa kihoro cha kukosa madaraka...........
......huu mwaka wa majuto
...Huu mwaka wa kuzika bwana..........Wewe subiri kunawatakaokufa kwa kihoro cha kukosa madaraka...........
kuna taarifa kwamba zimwi hilo lina mapembe yenye ncha kali sana!Lile zimwi linalofugwa kwa kulishwa maziwa na asali limeanza kuwatafuna waliolifuga habari zilizo tufikia hivi punde wafugaji wa zimwi hilo wanajuta kwanini walilifuga.
Jitihada za kuwaokoa wafugaji wa zimwi hilo zimeshindikana kwa kuwa chumba wanachoishi wafugaji hao wa zimwi ndo zimwi hilo linapoishi.
Mfugaji moja alisikika akisema tulimwambia Mkuu wetu tuliuwe mapema kabla halija leta madhara lakini hakunisikiliza
...tukutane jioni saa 12 kwa taarifa zaidi.
kuna taarifa kwamba zimwi hilo lina mapembe yenye ncha kali sana!
Ahahahhaha: You made my day. Msg delivered. Safi sana kwa fasihi andishi
zimwi leo limevutwa mkia limepewa watu wa kafara 10 tu, wengine litaongezewa baadaye, ukawa inajiandaa kulikata kwa shoka kali
Earthmover Hili ni kulitumia Mzimu kubwa kutoka butiama ndio utakaoliweza unakuja na kifimbo kimoja tu linagongwa linasambalatika.
...
....hatari
Lile zimwi linalofugwa kwa kulishwa maziwa na asali limeanza kuwatafuna waliolifuga habari zilizo tufikia hivi punde wafugaji wa zimwi hilo wanajuta kwanini walilifuga.
Jitihada za kuwaokoa wafugaji wa zimwi hilo zimeshindikana kwa kuwa chumba wanachoishi wafugaji hao wa zimwi ndo zimwi hilo linapoishi.
Mfugaji moja alisikika akisema tulimwambia Mkuu wetu tuliuwe mapema kabla halija leta madhara lakini hakunisikiliza
...tukutane jioni saa 12 kwa taarifa zaidi.
Njia pekee ni kuhama nyumba, kisha mnapachoma hapo nakwenda kuanza maisha mapya, ni aheri mkabaki wachache bila zimwi kuliko kuwa wengi huku zimwi likiwatafuna...
Mfugaji amefikia hatua hapati hata watu wa kumsaidia kuiba kura, kwahiyo ameamua kuvuruga uchaguzi
sasa zimwi limeanza kulawiti
Mkuu afu na hilo zimwi kushindana nalo haiwezekani maana kwa sasa lina Watoto wengi kuliko mfugaji,
haaaah..yaani pamoja na majanga ya zimwi hili, bado unalitaka!! litalikula la kwenu:teeth::teeth::teeth::teeth:Zimwi letu huku jike tuazimeni la kwenu tulipandshe
Lkn walikuwa wapi kulidhibiti hawa jamaa??,nasikia sasa limekuwa na manyoya mwili mzima na limeota pembe kama za nyati!!, hata ukiwa umejificha ukiliongelea lina pata taarifa na linatoa mrejesho hapo hapo.