Tulianza na mungu ,tuko na mungu ,tutamaliza na mungu ,bye bye zimwi
Mambo yameenda mrama uchaguzi serikali za mitaa nini? Nadhani zimwi hapa ni RUSHWA, natamani kusikia limewala wafugaji wote
ndo nini
Kusoma shida , kuona je ?
lile zimwi linalofugwa kwa kulishwa maziwa na asali limeanza kuwatafuna waliolifuga habari zilizo tufikia hivi punde wafugaji wa zimwi hilo wanajuta kwanini walilifuga.
Jitihada za kuwaokoa wafugaji wa zimwi hilo zimeshindikana kwa kuwa chumba wanachoishi wafugaji hao wa zimwi ndo zimwi hilo linapoishi.
Mfugaji moja alisikika akisema tulimwambia mkuu wetu tuliuwe mapema kabla halija leta madhara lakini hakunisikiliza
...tukutane jioni saa 12 kwa taarifa zaidi.
Wakuu ngoja nipite, sijaelewa kitu hapa.
Zimwi halifugiki, labda mwenye kulitunza aokoke!Lile zimwi linalofugwa kwa kulishwa maziwa na asali limeanza kuwatafuna waliolifuga habari zilizo tufikia hivi punde wafugaji wa zimwi hilo wanajuta kwanini walilifuga.
Jitihada za kuwaokoa wafugaji wa zimwi hilo zimeshindikana kwa kuwa chumba wanachoishi wafugaji hao wa zimwi ndo zimwi hilo linapoishi.
Mfugaji moja alisikika akisema tulimwambia Mkuu wetu tuliuwe mapema kabla halija leta madhara lakini hakunisikiliza
...tukutane jioni saa 12 kwa taarifa zaidi.
T Tatizo safari hii Zimwi limetoka nje ya nchi halijui mtu.Tatizo zimwi likujualo----------------------