Zimechorwa, sio picha!

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,230
14,188
Unaweza sema hizi ni picha! La hasha!!

Hii ni michoro kutoka kwa mtaalamu wa kiitaliano anaekwenda kwa jina la Marco Grassi.

Unaweza kuona kazi zake nyengine nyingi kupitia ukurasa wake wa instagram, just search the name (Marco Grassi) ujionee maajabu!

Cheki baadhi ya kazi zake hapa chini.

_20200718_094820.JPG
_20200718_094948.JPG
_20200718_094918.JPG
_20200718_094848.JPG
_20200718_095054.JPG
_20200718_094804.JPG
_20200718_095029.JPG
_20200718_095205.JPG
_20200718_095234.JPG
_20200718_095117.JPG
_20200718_095314.JPG
_20200718_095251.JPG
_20200718_095334.JPG
_20200718_095509.JPG
_20200718_095412.JPG
_20200718_095356.JPG
 
Back
Top Bottom