Huyo jamaa nae ni level zingine kabisa,yeye anachorea chochote kilichopo mbele yake sio brash tuKuna mwingine yupo Twitter anaitwa boubou Design jamaa kila kitu anachorea mfano kama akitaka kumchora Michael Jordan anatumia mpira wa basket anakuwa anachora kwa kuudunda dunda chini, akitaka kumchora Selina yule mama wa tenisi anachukua kimpira hicho anakuwa anachovya na kuchora bila kuangalia popote,
Kabisayaaap mkuu mpaka mimi binafsi nimependa kuna watu humu ni machino anakurekebisha mpaka unachukia kwa lugha anayotumia aisee
Hizi sio picha??? Ni nn???Unaweza sema hizi ni picha! La hasha!!
Hii ni michoro kutoka kwa mtaalamu wa kiitaliano anaekwenda kwa jina la Marco Grassi.
Unaweza kuona kazi zake nyengine nyingi kupitia ukurasa wake wa instagram, just search the name (Marco Grassi) ujionee maajabu!
Cheki baadhi ya kazi zake hapa chini.
View attachment 1510008View attachment 1510009View attachment 1510010View attachment 1510011View attachment 1510012View attachment 1510013View attachment 1510014View attachment 1510015View attachment 1510017View attachment 1510018View attachment 1510020View attachment 1510021View attachment 1510022View attachment 1510023View attachment 1510024View attachment 1510025
YapHuyo jamaa nae ni level zingine kabisa,yeye anachorea chochote kilichopo mbele yake sio brash tu
Kabisaa!!!,km sio mambo ya utandawazi basi jamaa yuko vizuri sana ktk sanaa.Ana kipaji
Kweli eenhh?!!!!.Wewe ni mtaalam wa Fine art?.Huyu hamna kitu sema kompyuta inamsaidia lakini hamna chochote. I know him