Zimechorwa, sio picha!

Zimechorwa, sio picha!

Jamaa anasema kwa picha moja anaweza kutumia muda wa miezi mi2 mpaka mi3 kuichora..

Mchizi mwenyewe ndio huyu.
_20200718_094734.JPG
 
Acheni masiala jamaa hawezi akatumia vitu vya uchoraji pekee achore picha hd kiasi hicho...
 
Eti "ZIMECHORWA SIO PICHA" hujawahi ona picha za kuchorwa?
 
Back
Top Bottom