[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unamchora gwajiboy anatokea MandingoHanishindi Mimi. Nilitaka kumchora Mwamposa, akatokea Hadija Kopa
Huyu kijna na yeye yupo vizuri sana.View attachment 1510405View attachment 1510406View attachment 1510407View attachment 1510408View attachment 1510409Jamaa ana umakini na utulivu wa hali ya juu sana.
Zaidi ana uvumilivu mkubwa sana kufanya jambo moja kwa muda mrefu taking into account every minor detail.
Jamaa nahisi anaweza kufanya kazi ya kuhesabu punje za mchanga.
😂😂😂 Umesema hivyo nimepata appetite ghafla, wacha niende nikafanye mambo nile. Karibu sanaHaswaa huko huko sekta ya mapishi ndo ninapokuvulia kofia.
Asante🙏😂😂😂 Umesema hivyo nimepata appetite ghafla, wacha niende nikafanye mambo nile. Karibu sana
Jamaa anasema kwa picha moja anaweza kutumia muda wa miezi mi2 mpaka mi3 kuichora..
Mchizi mwenyewe ndio huyu.View attachment 1510352
Jamaa ana umakini na utulivu wa hali ya juu sana.
Zaidi ana uvumilivu mkubwa sana kufanya jambo moja kwa muda mrefu taking into account every minor detail.
Jamaa nahisi anaweza kufanya kazi ya kuhesabu punje za mchanga.
Embu tupe kazi yako moja tuone...Huyu hamna kitu sema kompyuta inamsaidia lakini hamna chochote. I know him
Halafu karekebisha kistaarabu kabisaohooo 🙌🙌 r na l kwangu ni mtihan tosha kabisaaa 😁😁
Huyu na gwajima Nani mwenye akili zaidi?Unaweza sema hizi ni picha! La hasha!!
Hii ni michoro kutoka kwa mtaalamu wa kiitaliano anaekwenda kwa jina la Marco Grassi.
Unaweza kuona kazi zake nyengine nyingi kupitia ukurasa wake wa instagram, just search the name (Marco Grassi) ujionee maajabu!
Cheki baadhi ya kazi zake hapa chini.
View attachment 1510008View attachment 1510009View attachment 1510010View attachment 1510011View attachment 1510012View attachment 1510013View attachment 1510014View attachment 1510015View attachment 1510017View attachment 1510018View attachment 1510020View attachment 1510021View attachment 1510022View attachment 1510023View attachment 1510024View attachment 1510025
yaaap mkuu mpaka mimi binafsi nimependa kuna watu humu ni machino anakurekebisha mpaka unachukia kwa lugha anayotumia aiseeHalafu karekebisha kistaarabu kabisa