wanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea
Tumeyamaliza kwenye chama.....wewe unataka nini....?
Kama mlianza kwa kelele iweje mmalize Kimya Kimya?
Udini na ukabila vitawamaliza bavicha na cdm
wanacdm hujitapa kuwa ni chama cha maamuzi magumu.na wakipanga kitu lazima wafanye ndani ya muda lakini imebaki wiki 1 kumaliza mwezi tangu watoe siku 14 kuwafukuza wasaliti.kama mnashindwa kuwawajibisha watu 3 tu mkipewa nchi mtafukuza nani akikosea
uliambiwa baada ya siku 14; sasa je, wakiadhibiwa hata katikati ya mwaka ujao itakuwa ni kabla au baada ya hizo siku?
... ficha umbulula wako!

Mnaouliza hili jambo weng vichwa vya panzi,kwani kuna sehemu walisema kuwa katika hizo siku kumi na nne watakuwa wametoa maamuzi,kama kuna mtu ana nukuu ya aina hiyo aiweke hapa ndo tuendelee kujadili.