Zimebaki siku 363 tusherehekee Christmas ijayo

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,994
8,370
Kwa mapenzi ya Mungu tuombeane afya na uzima

Tujaaliwe kusherekea Christmas ya 2024

Christmas ni ishara ya kuzaliwa kwaYesu Kristo mkombozi wa ulimwengu

Christmas ya mwaka huu imekuwa ngumu sana kwangu nipo mbali na familia

Nimeongea nao kwa WhatsApp video call lkn i can't feel it

Hongera I mliokuwa pamoja na muwapendao

Tuombeane uzima tufike 25.12.2025
 
Ulizingatia mwakani February Ina siku 29?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom