BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
KASUSA kwa kukatwa uRC, Ubunge na kukataliwa kukaa jukwaa la wahuni wenzie.
Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli.
Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo cha kukatwa?
NB. Ikumbukwe kuwa bado Kuna nafasi za uteuzi ambazo zitatangazwa na Rais atakayeshinda Uchaguzi wa Oktoba.