Africa hatuna kitu kinaitwa Uchaguzi Huru na Haki, kwa taarifa yako Zimbambwe hadi sasa watu kadhaa wameshapoteza maisha, watu kadhaa wamejeruhiwa, miji kama Harare tayari imefungwa, askari na bunduki , mabomu na vifaru ndo vinazunguka Harare na dalili zilizopo ni kwamba Dogo kampiga mzee chini ila kitu kinageuzwa Upside down mzee ataibuka mshindi.......Democracy not in Africa my comrades....