Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

Habari za kuaminika ni kuwa Kiongozi wa Upinzani nchini Zimbabwe amesukiwa njama ya kumuondoa duniani. Naamini AU ina wajibu wa kuweka mazingira mazuri nchini Zimbabwe ili uchaguzi huru ufanyike. Wakiendelea kunyamaza tutakuja kuona mabaya zaidi. Kwa habari zaidi juu ya Assasination Attempt soma hapa chini by the Guardian (UK)
 
Last edited by a moderator:
Sina sababu ya kina kutilia mashaka kilichoripotiwa hapa..... lets wait and see!
 
Habari si kwamba Tsivangirai ameahirisha kurudi Zimbabwe baada ya chama chake kugundua mbinu za kutakata kumuua?
Sasa unaposema Tsivangirai kuuwawa si ina maana kuwa hajui kuwa atau wawa?
Ama si ina maana kuwa antakiwa kuuwawa kisheria baada ya hukumu?
Headline ya habari sijaimind!
 
More propaganda from MDC

Last week niliwaona kule Whitehall wakipanga mikakati. Its kinda strange serikali ya UK haijajua namna ya kuresolve hii kitu

Mugabe hawamataki

Mbeki hawamkubali

JK aka ZE COMEDY anaonekana naye mhuni tuuu ana wachezea

MWANAWASA hakubaliki na Mugabe

SADC nao wanazidi kuwaboa waUK

 
..mafahali[mdc,zanu,uk,usa] wakigombana zinazoumia ni nyasi.

..hebu fikiria kama "busara" zingetumika kama hapo Kenya kumaliza mgogoro huu zamani zileee.

..yeyote atakayechukua madaraka baada ya run-off elections i hope atajiuliza swali lifuatalo: WAS IT WORTH IT??

..was it worth it kutokuhakikisha kwamba land re-distribution haifanikiwi ili kushinda uchaguzi?

..was it worth it kutia pilipili jeraha la machafuko ya matebeleland ili kushinda uchaguzi?

..was it worth it kumuwekea vikwazo Mugabe na kuporomosha uchumi mzima wa Zimbabwe ili Mugabe aondoke madarakani?

..was it worth it, kuhujumu majeshi ya Zimbabwe kule Congo na ku-prolong vita na mauaji ya wananchi wa Congo, ili kumkomoa Mugabe na kumuondoa madarakani?

..was it worth it, kwa Mugabe kuendelea madarakani hata baada ya wakubwa kuonyesha kwamba wangechukua hatua ambazo zingewaumiza zaidi wananchi wa kawaida kuliko yeye?

..was it worth it, kwa Mugabe kutumia vyombo vya dola, mahakama, etc kunyanyasa wapinzani?

..WAS IT WORTH IT??
 

Kuna hali ya utata nchini Zimbabwe inatanda baada ya ile shehena ya Silaha kutoka China kuwasili nchini Zimbabwe. Habari za kuaminika zinadai kuwa shehena hiyo ambayo ilizua utata na vilio duniani kote sasa zimeshaingia nchini Zimbabwe kwa msaada wa South Africa.

Serikali ya Bw. Mbeki imekanusha kuhusika na ufikishwaji wa shehena hiyo lakini hata hivyo serikali ya Dikteta Mugabe imekiri kuwa ni kweli tayari imepokea hiyo shehena. Inasemekana kuwa Bw. Mbeki alitoa oda kwa Naibu Waziri wake wa Ulinzi Bw. Muleki George kuhakikisha Meli hiyo inakuwa refuelled na the SAS Drakensberg kandokando ya Ufukwe wa Afrika Kusini kabla ya kuelekea Kaskazini. Baadaye Shehena hiyo ilipakiwa kwenye ndege aina ya Ilyushin Il-76 inayomilikiwa na Avient Aviation.

Kama kweli serikali ya Mbeki imesaidia kufikisha hii shehena kabla ya marudio ya uchaguzi nchini Zimbabwe, nini ajenda yake na mwenzake Mugabe. AU inatakiwa kufuatilia habari hizi kuona ukweli wake maana harufu ya damu inazidi kuongezeka. Umoja huu una jukumu la kuhakikisha uchaguzi Zimbabwe unafanyika kwa HAKI na AMANI.
Inawezekana hii ikawa ni moja ya sababu ya kuandaa mpango wa kumuua Tsvangirai kwa kuwa wamepata New Ammunition (3 000 mortar rounds and 1 500 rocket-propelled grenades). Hawa wachina wana ajenda ipi kupeleka silaha wakati watu wanauawa kisa ku-support MDC? Kwa nini wasingesubiri uchaguzi umalizike ndipo wazi-ship? Bado pesa yao itakuwa palepale ingawa sura zingekuwa mpya katika serikali.

Amani ya Zimbabwe inawahusu waafrika wote na si wazimbabwe pekee yao. Kama AU mnaweza kulinda amani nchi kama Comoro kwa nini tusiwasaidie majirani zetu? Kamati ya Bunge (International Relations) mna nafasi gani katika kuleta awareness kuhusu jirani zetu?
 

Attachments

  • sasdrakensberg.jpg
    8.8 KB · Views: 77
I'm sorry for Zimbabwe Mungu awalinde na kuwaondoa wauaji kabla hawajatekeleza maazimio yao.
 
game theory said:
Hivi mnajua anayempa funding MT na MDC?

GAME THEORY,

..hata mimi nimeshangaa wananchi wanaosumbuliwa na njaa wanapata wapi muda wa kufanya kampeni za siasa na kupiga kura?

..WAS IT WORTH IT?
 
Hivi mnajua anayempa funding MT na MDC?

Mkuu GT, tukubaliane kwamba Zimbabwe inahitaji mabadiliko kwani hali iliyopo sasa ni mateso tupu. The former hero R. Mugabe ameshikwa kooni na Wazungu. Kuendelea kumkubali dictator & former hero ni kuangamiza maisha ya Wazimbabwe.

Nadhani wanao mfadhili MT na MDC ni Uingereza, MT akishapata Urais uingereza, US nk wataondoa suction iliyopo sasa ila hawataweza kutimiza ndoto zao ikiwa wamekusudia kuwatawala tena Wazimbabwe.
 
Hivi mimi naomba kuuliza,hili suala la fnding ya vyama limekuwa likija sana hapa jf,kila chadema wakiongea jambo ooh eti wanataka kuturudishia wajerumani watutawale,kisa wanakuwa funded na ujerumani,sijui tlp wakiongea nao wanakuwa funded,nccr the same na sasa MDC,sasa swali langu je,kuna chama gani cha ukombozi afrika hakijawahi kuwa funded kutoka nje?tukianza na hiyo hiyo ZANU PF,SWAPO,MPLA,NDC nk hata CCM yenyewe ilikuwa funded toka mashariki na hata baahi ya nchi za magharibi ambazo hazikufungamana na upande wowote.Je,kwa mantiki hiyo uchina,urusi,kyuba,yugoslavia,jamaica zilitutawala?marekani yenyewe mara ngapi imetufund?acha kama taifa hata kama chama,kuna funding nyingine huwa hata hazitangazwi,hizi nazo tusemeje?
mie nadhani its immaterial who funds who,the main issue lipi lengo la kufund na je,waaofund ni mafia au nani?mbona hatujiulizi aliyemfund mugabe kuleta zile silaha alikuwa na nia gani?zile silaha zingekuwa za mdc nadhani leo hii MDC ingekuwa ishafutwa kwenye uso wazimbabwe.Lakini kwa kuwa ni hawa ccm-ZANU PF aah that was fine.
 
Bhutto style assasination on Tsvangirai leaked
http://zimbabwemetro.com


Contact the writer of this story, Roy Chinamano at :
harare@zimbabwemetro.com

Next tutasikia Dictactor amepigwa risasi maana kuna habari za uhakika kabisa watoto wake wote na Grace wamekwisha pelekwa Malaysia na Chen alipohokiwa USA hivi karibuni alisema wazi kwamba Bob amewekwa kiti moto na ma-general wake. Bora wammalize kwani hali ni mbaya sana.
 
time for commercial break

......edited to remove pictures.......]

Jamani muda mwingine hii inakuwa too much. Mimi sioni haja ya kuweka picha ya hawa kina mama hapa na kuiita hii commercial break.

Brazamen na MOds tafadhali sana angalieni uzito wa haya mambo ambayo yanakwaza watu wengine!
 
Genocide threat in Zimbabwe

*Salakae, is the Secretary of Chelwa ya Shekgalagari Cultural Association,
(a non-political association fighting for the emancipation of the minority
groups).

Habari zilizothibitishwa zinasema umati mkubwa wa watu walihudhuria mkutano wa hadhara wa MDC nje kidogo ya Bulawayo kufungua kampeni ya uchaguzi wa raundi ya pili ingawa morgan Tsvangirai hakuwepo. ZANU-PF wameshikwa na butwaa kwani yanayotokea hawaamini macho yao. Anybody else na sio Mugabe na ZANU-PF. Hiyo ndio faida ya kuua uchumi na kuwafanya raia wako beggers nchi jirani.
 
Could unity government talks eclipse Zimbabwe runoff vote?


• A reporter who could not be named for security reasons contributed from
Harare, Zimbabwe.


Zimbabweans have vowed to remove this regime just watch.....


Zimbabwe opposition vows to 'bury' Mugabe in vote
Reuters


Sun May 18, 2008 11:00am EDT




After the violence in SA most zimbabweans want to go back home and sort out Robert Mugabe once and for all. With intimidation and beatings on every part of the country the Zimbabweans have determined to kick ZANU-PF out for good ....its gonner be a burial ceremony.
 


Zimbabwe accuses the U.S. diplomat James McGee,
right, of interfering in the nation's internal affairs.
Also shown, U.S. Assistant Secretary of State for Africa,
Ambassador Jendayi Frazer, center, and ambassador to South Africa Eric M. Bost,
left, during a media briefing in Pretoria, South Africa.


Back Robert Mugabe or face war, army tells white farmers
The Telegraph


How many whites are still in Zimbabwe? Kweli ZANU-PF wanaweweseka sasa mambo yamekuwa magumu kwao.
 
Mugabe seeks treatment in China



Ian Kay, the recently elected Member of Parliament for Marondera
is brought to court in the town in handcuffs on Friday,
May, 23. Kay, who represents the MDC,
is accused of inciting violence in Mashonaland East Province.
Wabunge hawaponi kwenye brutality ya Bob


May 24, 2008


Mugabe akimbilia China ..... adios Dictactor ndio harudi huyo .....................mambo yanakuwa magumu! Du! Mzee mzima ameshindwa kupata kura zaidi ya Morgan Tsvangirai




President in waiting……………………………..Morgan Tsvangirai, is greeted by Zimbabwe refugees
effected by the recent xenophobia attacks in Alexandra Township
while on a tour of the worst effected areas, in Johannesburg, South Africa,
May 22, 2008.

Kim Ludbrook / EPA
 
Tsvangirai flies back to Zimbabwe



Police stood by as Morgan Tsvangirai
left Harare airport flanked by minders



Baada ya Mugabe kukimbilia China Morgan atua Harare kwa kishindo……Teh teh teh............... Kwi kwi kwi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…