Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

Dua,
Mbona unajikanyaga?..This is what I wrote:-
Traditionally communal farms (blacks) used to produce the great portion of food crops way back before land redistribution reform, most of these farmers have moved to cities looking for better way of life. The only food crop commercial farming produced (white farmer) was maize.

You said you don't believe that, which isn't my problem but yours. Come with facts from any source I will take punches!
Tobacco, Grapes, Cotton e.t.c aren't food crops..
 
Mkandara

I told you on the first para that the Zimbabwe Farmers Union site is not available, and there is no way I can cook the statistics. If you have them it will be good to share with us, but if you just say ............................
 
Which means you don't believe me!..til a whiteman proved right! heee! hee !hee!
Well I will bring it you soon.
 
I don't believe the white man as well!
 
Then I'm in trouble!
I just came across this, might be of help.

Most commercial farms are owned by the descendents of white colonists, although blacks also participate in commercial farming. Corn yields average four times higher than on communal farms due in part to differences in land quality, the availability of irrigation, better technology and management practices, and better access to capital. These commercial farms account for less than 10 percent of corn area but contribute some 30 - 40 percent of corn production in a normal year. Commercial farms are the primary source of wheat, tobacco, livestock products, and horticultural products (such as cut flowers) for export.

Communal farms, located mainly in the less-fertile southern and western parts of Zimbabwe, produce the majority of the country's corn, cotton, and peanuts, as well as other subsistence crops and livestock. Excessive grazing, over-crowding, and erosion on communal lands have resulted in a marked reduction in vegetative cover over the years. The boundaries between communal and non-communal lands (commercial farms, national parks, and conservation areas) are clearly visible on.

http://www.fas.usda.gov/pecad2/highlights/2000/08/zim824.htm
 
Mkandara,
Hizo data ulizoleta ni za US Dept of Agriculture [Foreign Agricultural Services]. Nadhani for the same of this debate, inabidi tuziamini, kuliko data zinazotolewa na taasisi inayoiunga mkono serikali ya Mugabe.

Data hizo zinaeleza kile ambacho tumekuwa tukikieleza kwa muda mrefu. Between 70 -- 60% ya chakula cha Zimbabwe kimekuwa kikizalishwa na wakulima wadogo-wadogo. Haiyumkini Zimbabwe iwe na njaa kwasababu ya disruption ya uzalishaji wa wakulima wakubwa. They were only producing 30%--40% of the food.

Mikuki,
Kuna ukatili wa ajabu sana wanaofanyiwa waZimbabwe kwasababu tu Mugabe ametaifisha ardhi.

Zimbabwe imenyimwa hata fedha za kupambana na UKIMWI. Vilevile wamenyimwa debt relief. On top of that wanalazimishwa ku-service deni lao kwa vyombo vya fedha vya nchi za magharibi.

Inflation Zimbabwe inatokana na serikali kujaribu kujiendesha ktk mazingira ya vikwazo vya uchumi, debt-servicing, na kutokuwepo kwa external budget support.
 
baada ya majadiliano makali mnaweza ku-relax kwa kusoma historia kidogo ya Zimbabwe. Imeandikwa na Mzungu ambaye bado amengangania jina Rhodesia.

Nasikia Joshua Nkomo naye alikuwa na laana ya Baba wa Taifa, Julius Nyerere.


 
Jokakuu,
Duuuh! Kisha tunaambiwa ati wazungu pia hawahusiki katika kuyakuza matatizo yetu!
 
Mkandara,
MWAFRIKA mzuri ni yule anayeonyesha kuwapenda na kuwaenzi WAZUNGU. Umeona jinsi Mzee Madiba anavyosifiwa kwasababu ya kuwasamehe Wazungu?? Wanajenga mpaka sanamu za Madiba kwenye miji yao Ulaya.

Tembelea hapo www.galago.co.tz utaona jinsi wanavyowatukuza wakina Ian Smith,Pik Botha,Magnus Malan,...
 
Sioni sababu ya kumtetea Mugabe wakati sio wazungu waliomwambia aanzishe operation Murambatsvina, http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=2261&page=31

Sio wazungu waliyemwambia atumie USD 1 000 000 (one million) kufanya birthday party yake binafsi pesa za walipa kodi, sio wazungu waliyemwambia akawaue wapinzani wake kisiasa. He should take full responsibility for his failures. Alipewa dhamana lakini hivi sasa anajiona ni mungu-mtu. Nitakuwa ni mnafiki na kibaraka wakati nawanyooshea mkono viongozi wa TZ wanapofanya jinsi anavyofanya. Ugomvi wake na UK pamoja na USA hauhalalishi suffering inayotokea nchini mwake.
 
Dua,
Hayo yote uliyoyasema hapo juu ni ya kweli na ukweli mtupu lakini wewe mwenyewe unalala na kina Mugabe hapo ulipo.. Tazama yote hapo juu kisha nambie lipi halijafanyika Tanzania?..
Unachanganya vitu hapa ndugu yangu hakuna anayesema Mugabe ni rais mzuri ila tunachozungumzia ni vikwazo dhidi ya Wazimbabwe kwa sababu ya ardhi na Mugabe kuchukuliwa kama sababu hali wapo akina Mugabe milioni Afrika na dunia nzima. Tazama Kongo, Uganda, Nigeria, Ethiopia na labda hujaitazama vizuri Kenya. Kuna watu kibao wamekufa kutokana na siasa wakati wa Kenyatta na Moi kuliko sehemu nyingine yeyote! Je, kuna hatua gani umewahi kuisikia wakifikiria hata kuiwekea vikwazo?.. nothing..Gambia jamaa kachukua nchi kwa mabavu na kaweka chama kimoja hakuna mkono wa mtu wala sauti. WHY? wewe kama kweli mwafrika unakuwa vipi mgumu kuelewa haki ya Wazimbabwe kama binadamu!..Hali ukweli tunakupa kila unapouhitaji!
Tofauti kubwa kati ya nchi hizi na Zimbabwe ni hiyo njaa tu njaa ambayo imewekwa na nchi hizi za magharibi kwa sababu ya ardhi. Ardhi ambayo ni haki ya Wazimbabwe! hii ndiyo issue kubwa kweli kwani viongozi kama Mugabe tumewazoea na wapo kila kona ya Afrika wengine ndugu zetu.
 
Dua,
Ngoja nikwambie vitu vya ndani zaidi kuhusu Mugabe...
Unajua ya kwamba Marekani na Uingereza wakitaka kumwondoa Mugabe wanaweza kirahisi sana ni kazi ya siku tu. Hawashindwi kabisa!.. na wanaweza kuiweka kiasi kwamba ionekane ni raia wake wenyewe walio muua. Kweli marekani wanashindwa kumwondoa Mugabe na mbinu walizokuwa nazo?.. Noo kuna kitu zaidi ya kumwondoa Mugabe!
Wameshindwa kufanya hivyo kwa sababu moja kubwa sana!.. nayo ni kwamba Ukimwondoa Mugabe bado tatizo la ardhi haliwezi kuondoka!

Kutaifishwa kwa ardhi ya wazungu kunaungwa mkono na Wazimbabwe waliokuwa wengi sana. Mbinu ya kumwangusha Mugabe katika uchaguzi uliopita tena umesimamiwa vizuri sana ilidhihirisha msomamo wa Wazimbabwe..Mugabe alishinda vibaya sana!
Kwa hiyo hata kama Mugabe ataondolewa madarakani atakaye kuja atakuwa Mugabe mwingine ktk swala la Ardhi... hakuna solution isipokuwa kuwakamua Wazimbabwe fikra zao kwa njaa hadi wakubali wenyewe kuachia kamba (ardhi).
Hizi ni mbinu zilizotumika ktk kuuondoa Ujamaa nchi nyingi za Mashariki ikiwa ni pamoja na Tanzania. Kwa hiyo kinachosemwa kuhusu Mugabe ni kile kile tulichokizoea miaka 26 ya Uhuru wao. Mugabe alikuwa akifanyiza toka ashike Urais tena basi kapewa sifa wakati ambao kawaua Wandebele kishenzi!.. Kama nchi ile ilihitajika vikwazo kwa sababu ya rais basi nadhani ilikuwa wakati wa ZANU-PF na ZAPU-PF, hesabu ya mabaya ya Mugabe hayakuwa na hesabu.
Now, tusiwe tunashauri vitu sisi wenyewe bila kutafakari yote haya na kutoa solution.. Je solution ni ipi?
Kulingana na maneno yenu mnataka tu Mugabe ajiuzuru.. sawa akisha jiuzuru kitakachofuata ni nini?..kifanyike kitu gani ili Zimbabwe ipate kurudisha hadhi yake?... Sidhani kama mnalo jibu zaidi ya kurudisha ardhi.
Sasa kama ni kurudisha ardhi kwa baadhi wazungu irudish vipi maanake wazungu hawataki ku lease na wanadai kuwa ile ardhi ni yao, jambo ambalo Wazimbabwe wengi hawaliafiki!..Tusifanye ya Saadam kumondoa mtu kwa sababu tu kilichokusudiwa na nchi za magharibi ni Mafuta, kisha baada ya kuondolewa yametokea matatizo mazito na makubwa kuliko Saadam alivyokuwa mtawala.
Hadi leo hii nina hakika kwamba kama Saadam angekubali baadhi ya vitu ktk biashara ya mafuta sidhani kama yote haya yangeweza tokea. Namlaumu Saadam kwa msimamo wake, mbali na mauaji yote aliyokwisha yafanya..Swala la kutangaza kutumia Euro kuwa currency of exchange hali Marekani na UK ndio wawekeshaji wakubwa wa mradi ule ilikuwa kosa kubwa sana...
Same goes to Mugabe, muhimu yeye na serikali yake watafute mbinu ya kuwaridhisha western katika kile wanachoshindwa kukisema hadharani - Ardhi, mbinu ambayobado itaendelea kujenga imani za wananchi wake ambao hawakubali kuona wazungu wakiendelea kumiliki ardhi yao. Kumbuka tu waliovamia hizi ardhi walikuwa ni wananchi wenyewe baada ya kusubiri miaka mingi bila kupata suluhisho toka mazungumzo ya serikali yao na hizo nchi za Marekani na Uingereza. Wananchi ndio waliosema enough is enough na wakaitwa thugs!

Nipe mawazo yako jinsi ya ku-solve hili tatizo badala ya kunyoosha vidole Mugabe ajiuzuru hali picha nzima unayo mezani. Sema ni kitu gani kifanyike?
 
Mkandara

Hakuna kuzunguka hapa hili ni swala rahisi sana. Wewe unataka Mugabe aendelee kutawala kama alivyokuwa Kamuzu Banda - Rais wa maisha? Haya ni maneno yaliyojaa visingizio lukuki kama vya Mugabe. Hebu niambie alipobomoa nyumba za wananchi nani alimwambia afanye hivyo? Operation Murambatsvina, http://www.jamboforums.com/showthrea...t=2261&page=31

Huyu ni rais aliyetaka kuongeza utawala wake hadi 2010 lakini wenzake kwenye chama chake wamemkatalia - I mean 27 years is not enough? Swala la ardhi naona unalibebea bango sana hakuna hata mmoja ambaye haafiki Zimbabweans warudishiwe ardhi yao iliyoporwa na wazungu sijui niseme mara ngapi?

Tatizo la Zimbabwe ni Mugabe ukilifahamu hilo utakuwa umepunguza matatizo mengi sana. Mugabe alipoona war veterans wamechachamaa ilibidi awape fedha ambazo hazikuwepo na wengi wao walipewa fedha kwa wizi wa kimacho macho na yule kiongozi wao waliokuwa wanamwita Chenjerai Hunzvi (nick named Hitler) aliyekwenda ku-dance mahakama kuu juu ya meza ya jaji. (Yote hayo ni katika kuona uongozi wake unaendelea, Wakinamama walipolalamikia swala la chakula kuwa bei kubwa alipeleka tanks na jeshi kuwanyamazisha). Hebu niambie ni kiongozi gani ulimwenguni katika karne ya 21 anatumia jeshi lake kuwaua wale waliompa dhamana ya kuwaongoza?

Baada ya Mugabe (Killer) kuondolewa au kuachia madaraka wengine watatawala. Angalia majirani zake Mozambique nchi ambayo wareno walichukua ramani zote za Maputo - yaani umeme, simu n.k. ukikatika au maji kukosekana hakuna michoro na wakati huo huo wakipigana na RENAMO leo hii wamebadilisha marais wangapi?

Kote tunakotetea uamuzi wa democracy hakuna kiongozi anayetawala zaidi ya miaka 10. UK Tony Blair hata baada ya ushindi ameamua kung'atuka ingawa watu wengi watasema anakimbia matatizo lakini ukumbuke alishinda uchaguzi baada ya external policy n.k. Hapo hapo USA hawa ndio humalizi miaka nane lakini wewe unaona Mugabe ni sawa tu 27 years. Amevurunda na ni jukumu lake aondoke na akubali responsibility za kuharibu uchumi na asitafute scapegoat. Hebu niambie hata kwenye mikutano haoni aibu wale wababe kama yeye hawapo tena wameachia madaraka. HEBU NIAMBIE WEWE TUMFANYEJE HUYU DICTACTOR?
 
Zimbabwe 'ignoring' SA diplomacy


http://news.bbc.co.uk/go/pr/fr/-/2/hi/africa/6653789.stm

Hata sisi Tanzania hatuna wakimbizi million tatu, dictator Mugabe sasa hata wale wanaomlipia umeme na mafuta hataki kuwasikiliza.
 
Zimbabwe's starving border jumpers


http://news.bbc.co.uk/go/pr/fr/-/2/hi/africa/6642619.stm
 
Zimbabwe inflation up at 3,713%


http://news.bbc.co.uk/go/pr/fr/-/2/hi/business/6665749.stm

Well hiyo inflation sijui itakuja kuwa kwenye single digits lini?
 
Dua unachosema wewe ni kitu gani? hujajibu swali langu bali unanyoosha vidole tu..
Ebu soma maandishi yako mwenyewe kuna mtu kasema hivi:-

"I'm beginning to feel my president, who's gone out on a limb, is not being listened to," he said.
"He won't fail because he didn't try. He'll fail because he's not being listened to. It takes two to tango."

Sasa kukiwa na wakimbizi millioni 2 ndio nini? Wamekimbia Utawala wa Mugabe? ama matatizo ya kiuchumi!. Na kama kweli hii ni sheria mbona hao hao Marekani, UK na hata UN hawatambui wala kupokea wakimbizi wa kiuchumi imekuwaje Zimbabwe iwe tofauti?..
Dua hapa swala sio bado Mugabe ila ni njaa! Mugabe anaweza kabisa kuwatembelea hao wakimbizi na wengi wao wanafahamu kuwa vikwazo vya nchi za magharibi ndio chimbuko la matatizo yao. Kesho wakirudi Zimbabwe hawa jamaa sio wanted wala hawana ugonvi na serikali ya Mugabe. Wamekimbia njaa sio wamekimbia utawala wa Mugabe.
Can't you see that!.... anyway naona tunapoteza muda.. Kama mwafrika anashindwa kusimamia maslahi ya Uafrika wake mbele ya watu wa nje itakuwa shida kumaliza matatizo ya ndani. ndio maana nawasifu sana Wachina. Matatizo yao wanayamaliza wenyewe yakitoka nje wote wapo pamoja dhidi ya mgeni..
 
Mkandara

Hao jamaa wanamkimbia Mugabe labda hufahamu Hapa UK Scotland Yard waliwaonya ubalozi wa Zimbabwe kutokana na askari kanzu wa Mugabe kuja hapa na kuwafuatilia Zimbabweans hata South Africa wanalalamika kwani ametuma askari wake kuwashughulikia raia wake. Vile vile yeye ndiye chanzo cha mgogoro wote huu. READ BETWEEN THE LINES KUTOKA MWANZO WA HII THREAD KILA KITU KIPO.
 
Dua,
Kitu gani hapa unachozungumzia kuwa between the line?
Hoja zote zilizotangulia zinazungumzia maswala ya uchumi. hali ya Zimbabwe kiuchumi na kusema sababu ni Mugabe!..
Maelezo ya huyo Mama Monica ni ndani ya South Afrika na wanajificha askari wa South. Kisha kasema hawezi kurudi Zimbabwe kwa sababu watakufa njaa! what more do you want?
Hao Wakimbizi wa kisiasa UK ndio niliokuwa nikiwazungumzia toka hapo juu wewe hukunielewa. tatizo la Zimbabwe ni njaa imekuwaje UK wapokee wakimbizi wa Zimbabwe hali Zimbabwe hakuna vita?...Zimbabwe kuna njaa na imekuwaje UK wapokee wakimbizi hali njaa na matatizo yote ya kiuchumi huwa hayana sheria ya Ukimbizi?
Kwa serikali ya Zimbabwe kutuma ma spy, kila nchi inafanya hivyo! Kumbuka Mussa Member! Na mbona kuna wakimbizi wengi Watanzania huko Uingereza kuliko Wazimbabwe?.. Je, kweli Tanzania ina rais ama viongizi wabaya ama njaa tu ndio inatusumbua!..Hakuna wakimbizi wa kweli zaidi ya njaa. Wakimbizi wako darfur, Kongo, Somalia na hata Rwanda leo hii maanake wakirudishwa toka TZ, Kagame hawezi kuwaachia.
Listen, nipe suluhisho la mgogoro wa Zimbabwe nitakusikiliza lakini hizi blaaa! blaa! blaa! naona hatuendi popote!
Akitoka Mugabe then what?
 
Mkandara
Jibu lako liko hapo juu post na 333.

Huwezi kukaa madarakani miaka 27 na akili yako ikawa nzuri utakuwa ni dictator kama tunavyomuona hivi sasa. Mugabe aondoke na wamchague mtu mwingine mwenye mawazo tofauti ya kuongoza kwa sababu Mugabe uongozi umemshinda kwa miaka 27 iliyopita hawezi sasa wakati ni saa 12 jioni kwake amwachie mwingine ambaye itakuwa saa 1 asubuhi. Naona niazime maneno ya JJ hapa:


Kizazi Kipya, Maisha Mapya

New Generation, New Life

Mabadiliko ya Kweli, Uhuru wa Kweli

Real Change, Real Freedom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…