Kwa mtazamo wangu, Robert Mugabe siyo dictator ila mataifa makubwa wanajaribu kujenga hoja kwenye ndimi zetu ili wamng'oe madarakani na haya yote ni kwa kuwa hana msaada kwao.
Amekua akipinga unyonyaji wa rasili mali za zimbabwe yote haya ameyafanikisha kwa kuwanyima wawekezaji wanje nafasi yaku wekeza nchini mwake. Vyama vya upinzani vinavyn mpinga Mugabe vyote vinajipatia mapato yakuendesha kampeni zao kwa ENGLAND haswa chama cha waziri mkuu wa zimbabwe Morgan.Fedha hizo zina ingia kama political funds.
Nadhani kumng'oa Mugabe itakua ngumu lakini kinacho sikitisha umri ndo una mtupa mkono. LAKINI MUGABE NI MOJA WA VIONGOZI WA KUIGWA