Jifunze kiingereza vizuri bwana mdogoWe umeielewaje hiyo sentesi yote katika lugha ya Kiswahili, mbali na hilo neno pekee?
Naomba Mods muulete huu uzi hapa SIASA
Kichwa chaweza kubadilishwa to: Zimbabwe & Mugabe: End of an error
Thread yenyewe hii hapa:
Zimbabwe Election: Progress & Results
2008 Kitila Mkumbo alikuwa anapewa darasa kuhusu Zimbabwe mpaka katulia kama maji ya mtungi
Enzi hizo ni JAMBO FORUMS
blast from the past
CCM na Mugabe ni damu damu, ndiyo maana M/kiti wao amefananishwa na Mugabe Ikulu ikaandika barua ya pongezi kwa Baba Askofu ShayoWe umeielewaje hiyo sentesi yote katika lugha ya Kiswahili, mbali na hilo neno pekee?
Joka kuu shikamoo. Huo mwaka 2008 ndo kwanza nipo njuka we we tayari ulikuwepo jf na mpaka Leo upo. Pia nimemuona nyani ngambu kama sijakosea
Imeandikwa "end of an error" makusudi...error ni kitu kingine mkuu tumia neno era.
Hao ndo wanasiasa,usiwaaamiiini..2008 mimi nilikuwa miongoni mwa wana JF waliokuwa wakimtetea Robert Mugabe.
..niliunga mkono msimamo wa Mugabe kuhusu kugawa ardhi kwa Waafrika wa Zimbabwe na kuisaidia kijeshi Jamhuri ya Congo.
..Lakini jinsi muda ulivyosonga mbele Mzee Mugabe akageuka kuwa dikteta mbaya sana na kuendelea kwake kukaa madarakani kulisababisha uchumi wa Zimbabwe kuporomoka kutokana na vikwazo vya uchumi.
..Ilifika mahali nikaona Mzee Mugabe alipaswa kung'atuka ili kuinusuru Zimbabwe na kutunza heshima yake.
..Nawakumbuka Kichuguu, na Dua kama wana JF ambao waliona mbali kuliko mimi kuhusu suala la Zimbabwe.
what u meanZimbabwe could be added to UN Security Council's Africa summit
Monsters and Critics
Apr 15, 2008, 18:35 GMT
Mugabe is waiting to take the next move.........