Zima taa!...mwenzio naona aibu!

Zima taa!...mwenzio naona aibu!

Kuna kitu ana kuficha jaribu kuchunguza
 
Hi! Wanajf....mimi ni mwanaume namiaka 26, nimeshangazwa sana na tabia ya mpenzi wangu wa sasa. Eti yeye anadai huwa hapendi kungonoana mchana afu usiku anataka tuzime taa....jamani naitaji msaada wa haraka wadau, maana raha ya sita kwa sita ni mwanga, kuujua mwili wa mpenzi wako na kuutomasa huku ukimwangalia direct machoni...plz help me..

hapo kwenye red nipo tofauti kidogo,mi naamini raha ni kumfikisha mpenzi wako kileleni hayo mengine ni ziada tu.
 
mitatuuu hiyo... of previous boyfriends. kuna sred ya tatoo hapa. huenda hataki yakukute yanayomkuta jamaa..
 
Kumbuka tu zile mambo za tola anakula gizani darasa la pili alafu uchukue hatua
 
Mjengee confidence wewe.
Mwambie jinsi gani unapends ngozi yake, jinsi gani unapenda mwili wake, na jinsi gani vinakuhamasisha!

Mwisho wa siku atakuachia na believe anaweza hata akaja kukupa torch uwe unamchungulia kwenye kishimo chake!
Dah!..Athante kwa kweli.
 
miaka 26!...mpenzi wangu wa sasa!!!uliwahi kuwa nao wengine kabla!!hadi uzeeni utakuwa nao wangapi mpiganaji!
 
mwanamke aibu ndugu lakin kwa saiv ni eye to eye contact
 
Back
Top Bottom