Zima taa!...mwenzio naona aibu!

Hahahahaha.........Shhhhhhhh hommie Kaunga asijesikia. Utaniharibia deal. Kaidelete post yako bana.

BTW leo ushapima viuno vingapi? au ushaacha kazi yako ya ushonaji wa nguo za kike?

Ukimwona Kaizer mwambie namtafuta. Raha kupata vitu adimu kwenye mwanga bora.
hahaha hata mimi nimemuona anafaa kwenye chama! haya ngoja nikuache uende nae mdog mdogo! Sasa Mwnyekiti Kaizer ngoja kwanza nicheki nae
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri sijui unampenda kiasi gani ila kikubwa ni kujaribu kukaa nae chini mzungumze na kujua tatizo ni lipi nahisi itakuwa poa zaidi pia nakushauri acha tabia ya kubadili wanawake hovyo.

 
Hi! Wanajf....mimi ni mwanaume namiaka 26, nimeshangazwa sana na tabia ya mpenzi wangu wa sasa. Eti yeye anadai huwa hapendi kungonoana mchana afu usiku anataka tuzime taa....jamani naitaji msaada wa haraka wadau, maana raha ya sita kwa sita ni mwanga, kuujua mwili wa mpenzi wako na kuutomasa huku ukimwangalia direct machoni...plz help me..

Hiyo ni tabia ya wanawake wengi, hasa wale ambao si wazoefu sana wa ngono. Mwanamke ambaye haonyeshi aibu yoyote huyo amekubuhu na ni malaya. Sasa nashauri chukua jumla, akiingia na kujua wewe ni wake maisha yote, hiyo tabia itaisha.
 
Khaa bundibundi style!au nataka upite njia ya vumbi?,labda jini anataka kukunyonya damu? Kuwa makin mkuu
 
Hiyo ni tabia ya wanawake wengi, hasa wale ambao si wazoefu sana wa ngono. Mwanamke ambaye haonyeshi aibu yoyote huyo amekubuhu na ni malaya. Sasa nashauri chukua jumla, akiingia na kujua wewe ni wake maisha yote, hiyo tabia itaisha.

Mkeo yupo kwenye kundi gani?
Ushauri uliompa, umesema akiingia na kujua ni yeye maishani hiyo kitu itaisha; sasa aibu ikiisha si tayari atakuwa mzoefu ambaye according to you ni synoname na malaya!
 
Asante mkuu, ila 2nazaidi ya miez miwili sasa na tumeshakutana 0 dstance mara nyngi sana, sijui ndo tatizo la kudumu? Basi nkikataa kuzima naye ananinyima huduma..

Miezi miwili mmeshakutana mara nyingi, hii hatari
 
Mh! Nashukuru sana wana jf kwa ushauri wenu....ila jamani mbna wengne mnafanya utani?
 
Back
Top Bottom