Siyo lazima akujuze Kishindo, majina yaliyo toka zimamoto ni ya Mkaguzi msaidizi tu,kumbuka hizi nafasi maombi yalitumwa kwa Katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani na kwa ngazi ya Sergeant &Constable ambayo hayaja toka bado yalitumwa kwa Kamishna Jenerali.