Zilipendwa(Wimbo niupendao)

mie natafuta wimbo 1 sijui uliimbwa nani, wanaimba kuwa, ilikuwa saa 2 usiku ndipo ajali ilipotokea, ya kupoteza maisha ya mke wangu, baada ya kuishi nae miaka 17, na watoto 6 kaniachia, yauwee nami naishi yauweee nami naishiii,
 
Neema nazani chidumule kitu kama icho na Nilikupenda sana mfano wa maua lakini hupendi ni bora sasa uende nimechoka oooo hakika sijiwezi na huu pia
 
Back
Top Bottom