Zilipendwa(Wimbo niupendao)

Duh PM umenikumbusha mbali.......... enzi zile MJ1 natesa na afro na pekosi lol mtoto nawaka ka mbalamwezi watu hawanywi maji yakateremka ah........kweli ujana maji ya moto, yakipoa yamepoa loh..............
 
Tumetoka mbali mama,sasa inatubidi kuangalia vijana wanavyotesa na tusisahau kuwashauri pia............
 
Duh PM umenikumbusha mbali.......... enzi zile MJ1 natesa na afro na pekosi lol mtoto nawaka ka mbalamwezi watu hawanywi maji yakateremka ah........kweli ujana maji ya moto, yakipoa yamepoa loh..............

hehehehe MJ1 umenichekesha sana
 
Ahsante sana waheshimiwa ila naomba msikilize wimbo wa Muhidin Gurumo wa Usia kwa Watoto aliye nao auweke hapa. Na mimi naahidi kuutafuta niuweke
 
Wale wa mwishoni mwa miaka ya 70 na mwanzoni wa miaka ya 80 sidhani kama kuna ambaye hakuupenda huu.

Last edited by a moderator:
Mmmm PM natamani kujua sababu maalumu/wakati maalumu.
Isije kuwa ndo kibuti kinaandaliwa hivi hivi.

Shaka ondoa,na kamata dedication hii toka kwa mr Nice japo si zilipendwa.

Last edited by a moderator:
Na huu vipi? RTD saa kumi na mbili asubuhi.

Last edited by a moderator:
Shaka ondoa,na kamata dedication hii toka kwa mr Nice japo si zilipendwa.

Nitausikiliza usiku huu!!

The Following User Says Thank You to St. Paka Mweusi For This Useful Post:

LD (Today)​
 
Last edited by a moderator:
Napenda nipate lau nafasi,
nipate kusemanawe kidogo
aa mama we
moyoni naumia
 
Maridoda Sijui nani aliimba hii nyimbo Safari sio kifo mama iyeye tititit nikirudii mama nitakuletea zawadi kama sikosei imeimbwa na tancut almasi.
 
Pamoja mkuu nakutafutia.

Nakushukuru.

Nimeupata kwenye .MP3 nimeshindwa kuuweka ebu nielekeze au nikutumie.

Ujumbe wa huu wimbo "Maisha ya sasa ni magumu tofauti na ya zamani".

Ila sasa hivi sasa sina hata pesa ya kuweka benki.
 
Back
Top Bottom