Zilipendwa(Wimbo niupendao)

mmmhh ngoja ni mm MP Invisible tuone ka ataweza kuturudishia dear..

mie hii imenitisha..
imenikumbushia mwalimu wangu wa hesabu kipindi kile..lol
usiogope bwana waalimu wa siku hz ni wapole sana hawaruhusiwi kuchapa kabisa so watoto wa siku hz wana mteremko sana kuliko enzi zile za kumwagilia viunga na kuwahi namba!
 
Huu ni spesho kwa wadada wasiojiamini kwa waume zao...

Last edited by a moderator:
Sikiliza huu basi...

mapenzi yanitesa, wazimu unanipata
navyokufiri wewe, maana ulivyonigeuka..
mimi nashangaa, najiuliza
tumeacha lini...??

eeeehhhhee eeehhheeee

mapenzi yanitesa, wazimu unanipata
kwa kufikiri wewe, maana ulivyonigeuka
mimi na shangaa, najiuliza tumeachana lini??

mmhh mmhh mhh mhh
mmh mmh mmh mmh

umeshalikatili, penzi langu bila kosa
bali mimi bado nakupenda
wazimu tayari, sina hata la kusema
niko kama bubu kwa mapenzi..

heri kunichinja , kuliko kuni katili
penzi la niuma rooohhoonii

eeehhhh

ooohhhhh dear huu wimbo mtamu sana , very touch too lol
imebidi niuandike wote kwa aili ya ambao hawatapa muda kuusikiliza..
hata wasome maneno tu yalivyo kuwa matamu lol
 
Last edited by a moderator:
usiogope bwana waalimu wa siku hz ni wapole sana hawaruhusiwi kuchapa kabisa so watoto wa siku hz wana mteremko sana kuliko enzi zile za kumwagilia viunga na kuwahi namba!

hahahahah lol
umenikumbusha mbali sana dear..

asubuhi unatembea kama 1km shuleni
huku una guduria la maji little 5..
halafu una kuni..

kiatu umepiga kiwi kinaangaa na kutembea kote..
kucha safi ( espaciali J tano) lol ukaguzi..

shuleni mnaanza na mchaka mchaka ...
duuhh hizo nyimbo sasa
"Mbuga za wanyama Tanzania"
"ya kwanza ni Serengeti, Ngorongoro, Manyara na Mikumi"
"ooooohhhhh Tanzania ooooohhhh yyeeeeeeeee.."

sijui
"mchaka, mchaka chinja"

hahahahahaahaha lol
ilikuwa raha sana lakini lol
 
kuna mmoja sijui unaitwa mama Jemsi kitu kama hicho,unamzungumzia mume aliyefariki kwa ajali ntafutie mpendwa siku yangu iishe vizuri

Huu naona haupatikani ila sitachoka kuutafuta na labda members wengine wanaweza kunisaidia
Unaanza kwa kusema
nashangaa,nilikuwa naye asubuhi tu,nikimtarishia chai awahi kazini,
na watoto wake jemsi,joni na bahati,aliwapa pesa za matumizi ya shuleni,
leo napata habari baba jemsi ameshafariki jamani,moyo waniuma na nguvu mwilini sina.
umeniacha kwenye usiku wa giza nene,na mvua kubwa ya mawe yenye radi zenye hasira..
 
we acha tu ile life ilikuwa ya ujamaa kwelikweli sio sasa!
hahahahah lol
umenikumbusha mbali sana dear..

asubuhi unatembea kama 1km shuleni
huku una guduria la maji little 5..
halafu una kuni..

kiatu umepiga kiwi kinaangaa na kutembea kote..
kucha safi ( espaciali J tano) lol ukaguzi..

shuleni mnaanza na mchaka mchaka ...
duuhh hizo nyimbo sasa
"Mbuga za wanyama Tanzania"
"ya kwanza ni Serengeti, Ngorongoro, Manyara na Mikumi"
"ooooohhhhh Tanzania ooooohhhh yyeeeeeeeee.."

sijui
"mchaka, mchaka chinja"

hahahahahaahaha lol
ilikuwa raha sana lakini lol
 
Huu naona haupatikani ila sitachoka kuutafuta na labda members wengine wanaweza kunisaidia
Unaanza kwa kusema
nashangaa,nilikuwa naye asubuhi tu,nikimtarishia chai awahi kazini,
na watoto wake jemsi,joni na bahati,aliwapa pesa za matumizi ya shuleni,
leo napata habari baba jemsi ameshafariki jamani,moyo waniuma na nguvu mwilini sina.
umeniacha kwenye usiku wa giza nene,na mvua kubwa ya mawe yenye radi zenye hasira..

Paka kumbe unaujua mpendwa,umezidi kunifurahisha
 
we acha tu ile life ilikuwa ya ujamaa kwelikweli sio sasa!

mmmhhh ile ilikuwa ngumu lakini ina utamu wake lol

mmmhh pale ukikosea kujibu swali
unapiga magoti kwenye mchanga cheki hilo jua sasa balaa
halafu inata mvua kati kati ya summer lol

mmmhh tuliwezwa kwa kweli lol
 
Wajameni naomba mwenye huu wimbo'Barua kutoka kwa mama upo hivi ; Nisije kosa radhi ya baba, nisije kosa radhi ya mama etc.etc.eg.
......nilipopokea barua kutoka kwa mama akinipa malalamiko yakeeeeeeeeeeeeeee
kwamba yupo mbali na baba maaamaaa aha ahaa
kwa uchungu niliijibu barua ya mama
ya kwamba nitajaribu kuyasuluhusisha lakini mimi..............................
SHUKRANI MBELE
 
Usipate shida pakawa

YouTube - DDC Mlimani Park - Barua Toka Kwa Mama
 
Wajameni naomba mwenye huu wimbo'Barua kutoka kwa mama upo hivi ; Nisije kosa radhi ya baba, nisije kosa radhi ya mama etc.etc.eg.
......nilipopokea barua kutoka kwa mama akinipa malalamiko yakeeeeeeeeeeeeeee
kwamba yupo mbali na baba maaamaaa aha ahaa
kwa uchungu niliijibu barua ya mama
ya kwamba nitajaribu kuyasuluhusisha lakini mimi..............................
SHUKRANI MBELE

Naona nimeshindwa kuupata ila si vibaya ukiburudika na huu ...

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom