Hawa walikuwa wasanii kweli wanaumiza vichwa ujumbe unafika kwa rika lote.unaweza kuusikiliza hata ukiwa na mtu wa aina yoyote, ila wengi wao wamekufa kwenye maisha ya umaskini.music hawakufaidika nao.ila jumbe zao zimebaki na zitaendelea kubaki masikioni mwa wengi.labda hiki ndiyo kizazi cha dhahabu enzi hizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.