Zile za kule . . . . . Kwanini zipo huko . . . . . ??

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,712
Ijumaa ya leo haiko sawa kwangu,lakini haijanizuia kujiuliza swali lifuatalo;
"
Lakini kabla ya kuuliza,nina ombi kwa MODS,wasiihamishe hii siredi kulee maana sina access huko na naweza kukosa jibu la swali ninalouliza.
"
Ni kuwa kwenye sehemu za mwili wa binadamu kwapani na kuleeee "downstears" huwa kuna "nywele"!
"
Kwanini zimewekwa huko?Jamani nisaidieni,nataka jibu la kisayansi kidogo.
"
Kuna dogo ameniuliza nikabaki speechless!Wengine shule zilitupita kando . . Lol!
"
Any answer please . . . . . . !!!!
 
Mzizimkavu nadhani itabidi aje ajibu hili swali!!!!!!!!!
 
Kuna theories mbali mbali kuhusu hizo nywele, herewith some of them
  1. Zinasaidia kusambaza feromones ambazo ni kemikali zinazo toka kwenye tundu za ngozi na zina tumika katika kumvutia sexua partner.
  2. Wakati wa zamani, zilikua zinasaidia ku-regulate temperature eneo za siri ili viungo vya uzazi vya ndani kwa ndani visiharibike
  3. Za kule chini zinasaidia, kama kope, kuziwia vumbi na uchafu mngine kuingia ndani
  4. Study zinaonesha kua kuna sexual excitment kubwa zaidi binadam anapoona nywele hizo, ila tu sababu ya esthetics na hygiene tuna-prefer watu wenye kunyoa
  5. Zilikua nyingi zaidi ila through natural selection, tulianza kuprefer wenye nywele hizo chache, as wenye nyingi walikua wanabeba parasites ndani yake. so with time only the ones with fewer pubic hair could mate and that led us to the current situation.
I hope this helps
 
looh! Limenitoa nishai ila ktk kufurahisha ni ili kuondoa msuguano wa koil 2, ila wakija wenyeji nami nitadesa
 
Back
Top Bottom