Mambo ya rohoni waachie watu wa rohoni, ukitumia utashi wako utaishia kutenda dhambi kwa kuhukumu bila kuwa na ushahidiKatika vitu nilivyo shindwa kuviamini ni zile shuhuda zinazo tolewa, Ukikaa ukasoma between the line zile shuhuda kama kuna za kweli basi ni moja kati ya 1000 zinazo bakia ni za ku frame ku attract watu.
Na cha kushangaza watoa Shuhuda wengi huwa ni wageni maachoni mwa waumini. Unakuta ni Sura ngeni au mpya.
Na huu Usanii anaufanya sana anaye jiita Mwaponsa yule Jamaa ni Master wa ku frame shuhuda
Ushaongelea neno imani basi hayo mengine yaacheSasa watakula wapi zaidi ya kufanya huo utapeli.? Kila mtu ashike akili zake mwenyewe.
Anaweza kwenda kilema ili apate uponyaji lakini ataambiwa hana imani wakati kuna (kilema) mwingine alipona hapo hapo.
Mtu akirudishiwa mguu/kiungo cha mwili wake kilichopotea,.je,utasadiki kuwa ni YESU mnazareth ametenda..?? Au ndo mtaanza tena hapa oooh ulozi na uchawi..!?Na ni kwanini watu wote ambao huombewa na kupona ni wale wenye magonjwa yasiyoonekana / yasiyo na ushahidi dhahiri (mfano kuumwa kichwa, tumbo, matatizo ya akili nk.)
Sijawahi kuona mtu aliekatika mguu/mkono akapelekwa kwenye maombi kuombewa na mguu ukarudi! Kama Yesu alivyorudisha sikio la yule jamaa.
Mathayo 12 : 39Si ndiyo mnayopenda hiyo,.hamumtaki YESU ila mnataka miujiza, acha mpigwe tuu,.
Ni Bora nisikie mke wangu amefanya hivi , kuliko kuchukua pesa hizi akapeleka kwa mganga wa kienyeji..Wanawake wanashikiwa sana akili hadi kuvuruga mahusiano na waume zao na kuvuruga mipango ya familia, maana mwanamke akiifuma laki mbili kwenye wallet hesabu ya kwanza ni kupeleka sadaka kwa mchungaji au nabii....
Wanawake wanashikiwa sana akili hadi kuvuruga mahusiano na waume zao na kuvuruga mipango ya familia, maana mwanamke akiifuma laki mbili kwenye wallet hesabu ya kwanza ni kupeleka sadaka kwa mchungaji au nabii....
Mtu akirudishiwa mguu/kiungo cha mwili wake kilichopotea,.je,utasadiki kuwa ni YESU mnazareth ametenda..?? Au ndo mtaanza tena hapa oooh ulozi na uchawi..!?