Ziko wapi Mimba za Chadema alizosema Lusinde???

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,502
86,050
Wako wapi wale wana-CCM waliotukana na wale waliotumiwa hapa jukwaani kutukana? sijaona hata mmoja, ziko wapi mimba za Chadema alizzisema Lusinde? Wako wapi Mashoga aliowasema Lusinde? Uko wapi uchungu aliousema Lusinde dhidi ya Mbowe? Uko wapi Ubabe wa Lusinde kwa Mzee Slaa kuwa anaweza kumpiga ngumi moja tu? Uko wapi ule ukosefu wa akili ulionyeshwa na viongozi hawa wa CCM??????? Hakika malipo mengine hulipwa hapa hapa

Lusinde, Mimba za Chadema zimehamia wapi???
 
Vita ni vita Mura! Havichagui hali, uwanja wala eneo la kupiga. Hata sokoni mabomu na makombora hutupwa bila kujali yatamuumiza na kumuua nani. Vita haiangalii kama wanaokufa wanahusika au la; kama ni watoto au wanawake. Mradi vita ni vita Mura!
 
tatizo la ccm kutumia vichaa majibu yamepatikana hapa hapa huu mwanzo tu safari bado
 
Bila kujitambua lusinde ametumika na ccm kuchochea ushindi wa chadema. Muendelee hivyo hivyo 2015 . Hali ni mbaya sana kwa magamba
 
lusinde ndio kwanza kapewa mimba na chadema ameanza kuona kichefuchefu kila akisikia au akimuona mtu wa chadema, na hii ni tabia ya wajawazito walio wengi kujisikia kichefuchefu au kutopenda kumuona aliyempa mimba.
 
lusinde ndio kwanza kapewa mimba na chadema ameanza kuona kichefuchefu kila akisikia au akimuona mtu wa chadema, na hii ni tabia ya wajawazito walio wengi kujisikia kichefuchefu au kutopenda kumuona aliyempa mimba.
hahahah mkuu kweli hata mi nakumbuka wakti wf ana mimba hakutaka kuniona sasa lisinde yamemkuta tumtafutie udongo na embe changa
 
wako wapi wale wana-ccm waliotukana na wale waliotumiwa hapa jukwaani kutukana? Sijaona hata mmoja, ziko wapi mimba za chadema alizzisema lusinde? Wako wapi mashoga aliowasema lusinde? Uko wapi uchungu aliousema lusinde dhidi ya mbowe? Uko wapi ubabe wa lusinde kwa mzee slaa kuwa anaweza kumpiga ngumi moja tu? Uko wapi ule ukosefu wa akili ulionyeshwa na viongozi hawa wa ccm??????? Hakika malipo mengine hulipwa hapa hapa

lusinde, mimba za chadema zimehamia wapi???
zimehamia kwake mwenyeweeeeeeee
 
ccm wamekuwa chanzo cha fujo na masumbufu.....maana hao ndugu zao polisi wakiambiwa pigaaaa wanapiga tu akili hamna coz hata viongozi wao matusi ndo yamewajaa na kejeli ..pambafu zao
 
Ukosefu wao wa heshima umewaponza, maskini Lusinde
 
Back
Top Bottom