Ziko wapi Chopa 12 Lowassa kampeni ya toroka uje?

Mtoa mada wewe ulichoona kakubwaa na chopa kweli ccm mmechoka sanaa
 
UKAWA walifikiri kungekuwa na ushindani mkali.Kwa hali ilivyosasa haina haja.
Kuhusu Toroka uje, angalia ITV sasa.
 
CHOPA 12 LOWASA:
Ziko wapi chopa 12 ambazo wanaukawa walijinasibu kuwa zitakuwa zikizinguka kumkapenia Bw.Lowasa na ule mpango wao wa toraka uje?naona kimya na siku zinaenda!Ila lile la mchngo wa harambee liliwezekana fasta!Watanzania tushtuke

Ulipost bila kujua kuwa Operation Toroka Uje inatimia? Kingunge huyoooo!!! Kampeni imeisha unataka Chopa za nini?
 
mwanzisha mada ubongo wako lazima una mimba-CCM wanaona uchaguzi unateleza beyond reach wewe unazungumzia chopper- ma great thinkers wa siku hizi!!! kweli something is amiss
 
Kwani chopa nazo ni moja ya ahadi kwa watanzania, eeh Mungu iponye Tanzania
 
Kuna kiongozi yeyote wa CHADEMA alisema kuwa kutakuwa na Chopa 12 au ni maneno ya vijiweni!?
 
CHOPA 12 LOWASA:
Ziko wapi chopa 12 ambazo wanaukawa walijinasibu kuwa zitakuwa zikizinguka kumkapenia Bw.Lowasa na ule mpango wao wa toraka uje?naona kimya na siku zinaenda!Ila lile la mchngo wa harambee liliwezekana fasta!Watanzania tushtuke

Yako wapiga maisha bora kwa kila Mtanzania?
 
Kwa mara ya kwanza katika maisha yake Lowasa ataonja kuishiwa soon tu uchaguzi ukiisha. Atakosa hata mafuta ya gari ya kwenda katika sherehe za kuapishwa magufuli
 
ahahahaaa yaaani kama umejua vile na biashara za kifisadi zimeshafikia mwisho wake yaani sipati picha atakapopanda daladala
 
CHOPA 12 LOWASA:
Ziko wapi chopa 12 ambazo wanaukawa walijinasibu kuwa zitakuwa zikizinguka kumkapenia Bw.Lowasa na ule mpango wao wa toraka uje?naona kimya na siku zinaenda!Ila lile la mchngo wa harambee liliwezekana fasta!Watanzania tushtuke

Chopa hizo zitazunguka kutafuta pesa ya kulipa madeni baada ya uchaguz
wakat huo lowasa yuko monduli kwa mapumziko

Viva magufuli viva
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom