Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
CHOPA 12 LOWASA:
Ziko wapi chopa 12 ambazo wanaukawa walijinasibu kuwa zitakuwa zikizinguka kumkapenia Bw.Lowasa na ule mpango wao wa toraka uje?naona kimya na siku zinaenda!Ila lile la mchngo wa harambee liliwezekana fasta!Watanzania tushtuke
Lowasa kashamaliza kampeini maana alikuwa anahitaji kura 16 million na sasa ana 18 million, sijui mpiga pushapu wenu