CHOPA 12 LOWASA:
Ziko wapi chopa 12 ambazo wanaukawa walijinasibu kuwa zitakuwa zikizinguka kumkapenia Bw.Lowasa na ule mpango wao wa toraka uje?naona kimya na siku zinaenda!Ila lile la mchngo wa harambee liliwezekana fasta!Watanzania tushtuke
Labda zitazunguka baada ya tar 25
Lipi jema
CHOPA 12 LOWASA:
Ziko wapi chopa 12 ambazo wanaukawa walijinasibu kuwa zitakuwa zikizinguka kumkapenia Bw.Lowasa na ule mpango wao wa toraka uje?naona kimya na siku zinaenda!Ila lile la mchngo wa harambee liliwezekana fasta!Watanzania tushtuke
Walitaka kuwatia ccm,wakawakuta jamaa wapo ngangalii!!!
CHOPA 12 LOWASA:
Ziko wapi chopa 12 ambazo wanaukawa walijinasibu kuwa zitakuwa zikizinguka kumkapenia Bw.Lowasa na ule mpango wao wa toraka uje?naona kimya na siku zinaenda!Ila lile la mchngo wa harambee liliwezekana fasta!Watanzania tushtuke
Kwa mtindo huo watazidi kuzomewa kila kona.
CHOPA 12 LOWASA:
Ziko wapi chopa 12 ambazo wanaukawa walijinasibu kuwa zitakuwa zikizinguka kumkapenia Bw.Lowasa na ule mpango wao wa toraka uje?naona kimya na siku zinaenda!Ila lile la mchngo wa harambee liliwezekana fasta!Watanzania tushtuke
Hawa jamaa ni wezi sana hawana lolote. Wanainchi tumeshituka na harambe zao.
Hujitambuibora ukawa wanachangisha waziwzi, nyie mmekomba pesa za waalimu, mmeuza hiza za serikali tbl, majizi xana nyie, na mwaka huu lowassa atawafirisi.