Sio kwa kuachana njia panda huku...ajira hiz zilimwagwa kwenye gazeti la habari Leo zikaanikwa gazeti la nipashe...........wazir akijinafsibisha kwenye kipindi cha dakika 45(ITV) na kusema muda wowote kuanzia muda hule(huku mtangazaji akikazia muda wowote!??) Akrudia tena muda wowote.......
Mwaka sasa umeisha.......KIMYAAAA
Serikali ituambie ukweli ni nini kinaendelea, mkwamo upo wapi?