Ziko wapi ajira 40,000 alizotuahidi Rais Samia?

Na ule utapeli wa waziri Mkuu mzee wa ripoti za moto taarifa ndani ya siku 7, kuhusu treni ya SGR kuanza kazi mwezi huu wa 8 kipande cha Dar-Moro unaanza lini? Au bado wanatengeneza epsode za kesi za ugaidi?
Hutaki tena kuongelea ajira?
 
Nchi inayotegemea uchumi wa tozo za kinyonyaji ni ngumu sana ku create ajira elf 40 ndani ya serikali, achilia mbali kwenye sekta binafsi.....kwa wazazi ambao vijana wetu wapo shule, tujitahidi kuwekeza kwa namna yoyote ile ili watoto wasije kujikuta wanakuwa watumwa wa mfumo mbovu wa ajira.....
 
Nakumbuka siku ya mei mosi mwaka huu, mheshimiwa Rais alituhaidi kwamba serikali yake inatarajia kutoa ajira za kudumu 40000 kwa vijana mwaka huu.

Hata bajeti iliyopitishwa na bunge kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambayo utekelezaji wake umeanza mwezi wa saba pia inazungumzia hicho kitu.

Japokuwa utekelezaji wake umeanza lakini hadi sasa hakuna dalili wala mtu hata mmoja ambaye amekwisha ajiriwa.

Je, hizi ajiriwa tulizoahidiwa na mheshimiwa Rais wetu ni lini zitaanza kutoka?

Maana isije ikawa kama ajira 5000 za ualimu alizoahidi hayati magufuri baadaye zikatokomea kusiko julikana hadi wa leo hazijulikani zilipo
Ajira zitatoka wapi wakati kila Kukicha tu CHADEMA mnataka Kuhatarisha Amani na Ustawi wa Tanzania hali ambayo pia inawatisha Wawekezaji wakubwa wa nje kuja Kuwekeza 'fully' nchini Tanzania wakihofia Usalama wao na Malighafi zao watakazoziweka?

Mkitulia CHADEMA 'Ajira' zitapatikana.
 
Nakumbuka siku ya mei mosi mwaka huu, mheshimiwa Rais alituhaidi kwamba serikali yake inatarajia kutoa ajira za kudumu 40000 kwa vijana mwaka huu.

Hata bajeti iliyopitishwa na bunge kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambayo utekelezaji wake umeanza mwezi wa saba pia inazungumzia hicho kitu.

Japokuwa utekelezaji wake umeanza lakini hadi sasa hakuna dalili wala mtu hata mmoja ambaye amekwisha ajiriwa.

Je, hizi ajiriwa tulizoahidiwa na mheshimiwa Rais wetu ni lini zitaanza kutoka?

Maana isije ikawa kama ajira 5000 za ualimu alizoahidi hayati magufuri baadaye zikatokomea kusiko julikana hadi wa leo hazijulikani zilipo
Anita? Mwungano oyeeeeeee
 
28412C41-0877-4D57-9F09-6688DA018646.jpeg

Back
Top Bottom