Honorable GPA
Senior Member
- Mar 31, 2019
- 149
- 223
Nakumbuka siku ya mei mosi mwaka huu, mheshimiwa Rais alituhaidi kwamba serikali yake inatarajia kutoa ajira za kudumu 40000 kwa vijana mwaka huu.
Hata bajeti iliyopitishwa na bunge kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambayo utekelezaji wake umeanza mwezi wa saba pia inazungumzia hicho kitu.
Japokuwa utekelezaji wake umeanza lakini hadi sasa hakuna dalili wala mtu hata mmoja ambaye amekwisha ajiriwa.
Je, hizi ajiriwa tulizoahidiwa na mheshimiwa Rais wetu ni lini zitaanza kutoka?
Maana isije ikawa kama ajira 5000 za ualimu alizoahidi hayati magufuri baadaye zikatokomea kusiko julikana hadi wa leo hazijulikani zilipo