Zikiwa Zimabaki Siku 4 Kufikia Deadline ya Barrick Kuinunua Acacia Kwa Fedha Kiduchu, Acacia Inazidi Kujitutumua, ili Barrick Aongeze Dau!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,498
113,601
Wanabodi,
Leo zikiwa zimabaki siku 4 kufikia deadline ya Barrick kutangaza nia ya dhati ya kuinunua Acacia kwa fedha kiduchu, ambapo deadline ni tarehe 9 July, kampuni ya Acacia inazidi kujitutumua, ili kuonyeshea Barrick kuwa ina thamani kubwa, inastahili kununuliwa kwa dau kubwa, ili angalau Barrick aongeze dau kabla ya hiyo Julai 9.

Leo asubuhi Acacia wametoa press release kuonyeshea thamani ya mgodi wake wa North Mara.

Hii ni taarifa ya Acacia ya leo.

Wanasema
North Mara Mineral Reserves and Mineral Resources Statement Update
05 Jul 2019

Significant increases in Gokona Mineral Reserves, M&I Mineral Resources and Inferred Mineral Resources Demonstrate Long-Term Potential of Gokona Underground Mine

Acacia Mining is pleased to announce a mid-year Mineral Reserve and Mineral Resource update for its Gokona Mine at North Mara which adds to the long-term potential of this underground operation.

  • Mineral Reserves as at end May 2019 increased by 13% in comparison to year-end 2018 from 1.117 million ounces (“Moz”) of gold at 5.6g/t to 1.257 Moz of gold at 5.5g/t; primarily driven by the successful additional drilling on the East and West extension at Gokona in Q4 2018 and Q1 2019, offset by mining depletion and a more conservative change in assumptions for crown pillar stope recovery.
  • Measured and Indicated (“M&I”) Mineral Resources increased by 63% from 75,000 ounces (“Koz”) of gold at 3.3g/t to 122Koz of gold at 3.6g/t.
  • Inferred Mineral Resources increased by 65% from 515Koz of gold at 6.5g/t to 849Koz of gold at 5.4g/t following the increase in drill density and confidence levels in the deeper areas of the deposit.
  • All these increases are despite the fact that some 76Koz of gold have been mined in the intervening period
Hii yote ni hatua za mwisho mwisho kabisa za Acacia kutapatapa kujaribu kujiokoa kabla ya kuelekezwa kibla, na Barrick kupiga bisimilahi, na kuichinjia Acacia baharini.

P.
 
Kwa jinsi huu mchezo unavyoenda kuna mambo mengi, barrick wanataka wamlalie acacia kwa kuwa wanajua yuko vulnerable! Naye acacia anajua anapigwa ila hata kama nimetingwa si mniongeze hata kiduchu! Maana yake barrick wangeongeza kidogo tuu hela kwa hali ya sasa ilivyo wangechukua! Pia acacia anaona huyu mteja akiondoka kuna mambo mengi hapo kati ni kama kamari wanaweza fanikiwa au la! lkn lazima mda upotezwe! Its wait and see upande wangu naona acacia watakubali kucheza kamari!
 
Thanks kaka Paskali kwa kufuatilia kwa karibu haya majizi ya madini yetu, hiyo ni mind game tactics & technics just to pass time, ili JPM aondoke madarakani ili wasilipe, huo ndio uhuni wa Barrick..!! Barrick ndio master mind wa huu mchezo, the point ni kupoteza muda kwa kujidai wana mgogoro wao kwa wao, ili waseme jamani serikali ya Tz subirini kwanza kuna huyu Acacia bwana mdogo analeta mgogoro hapa, sisi Barrick hatuna shida, tupeni muda tuinunue kabisa hii Acacia kisha tuwalipe, but that is not true, lengo kuu ni kupoteza muda ili Barrick asitulipe hela yetu..

Ushauri kwa serikali yetu:

Ita haraka Barrick kwa emergency meeting ya siku moja, mpe barua ya deadline kutulipa, hatuwajui Acacia kisheria, so Barrick apewe barua hot kabisa ya kutulipa na ku settle their intentionally created disputes to waste time, sbb kama ni muda ni miaka sasa wamepewa, time is up, walimwe barua kali kali kabisa na serikali, waache kutuchezea, i wish i could be the President just for a day..!! Wangenyooka naapa..!!
 
Wanabodi,
Leo zikiwa zimabaki siku 4 kufikia deadline ya Barrick kutangaza nia ya dhati ya kuinunua Acacia kwa fedha kiduchu, ambapo deadline ni tarehe 9 July, kampuni ya Acacia inazidi kujitutumua, ili kuonyeshea Barrick kuwa ina thamani kubwa, inastahili kununuliwa kwa dau kubwa, ili angalau Barrick aongeze dau kabla ya hiyo Julai 9.

Leo asubuhi Acacia wametoa press release kuonyeshea thamani ya mgodi wake wa North Mara.

Hii ni taarifa ya Acacia ya leo.

P.
Wewe waache tu dawa yao ipo jikoni inaiva
 
Serikali ya muheshimiwa nayo
giphy.gif

Labda Acacia!.. labda Barrick!..Noah za wananchi!....Noah za wananchi!
 
Wanabodi,
Leo zikiwa zimabaki siku 4 kufikia deadline ya Barrick kutangaza nia ya dhati ya kuinunua Acacia kwa fedha kiduchu, ambapo deadline ni tarehe 9 July, kampuni ya Acacia inazidi kujitutumua, ili kuonyeshea Barrick kuwa ina thamani kubwa, inastahili kununuliwa kwa dau kubwa, ili angalau Barrick aongeze dau kabla ya hiyo Julai 9.

Leo asubuhi Acacia wametoa press release kuonyeshea thamani ya mgodi wake wa North Mara.

Hii ni taarifa ya Acacia ya leo.

P.
Mkuu thamani hii ndio wamedisclose TRA?au thamani waliyoripoti serikalini ni ndogo ili kikwepa kodi?Kwenye financial projections walizopeleka TRA nini makisio ya mapato?
 
Thanks kaka Paskali kwa kufuatilia kwa karibu haya majizi ya madini yetu, hiyo ni mind game tactics & technics just to pass time, ili JPM aondoke madarakani ili wasilipe, huo ndio uhuni wa Barrick..!! Barrick ndio master mind wa huu mchezo, the point ni kupoteza muda kwa kujidai wana mgogoro wao kwa wao, ili waseme jamani serikali ya Tz subirini kwanza kuna huyu Acacia bwana mdogo analeta mgogoro hapa, sisi Barrick hatuna shida, tupeni muda tuinunue kabisa hii Acacia kisha tuwalipe, but that is not true, lengo kuu ni kupoteza muda ili Barrick asitulipe hela yetu..

Ushauri kwa serikali yetu:

Ita haraka Barrick kwa emergency meeting ya siku moja, mpe barua ya deadline kutulipa, hatuwajui Acacia kisheria, so Barrick apewe barua hot kabisa ya kutulipa na ku settle their intentionally created disputes to waste time, sbb kama ni muda ni miaka sasa wamepewa, time is up, walimwe barua kali kali kabisa na serikali, waache kutuchezea, i wish i could be the President just for a day..!! Wangenyooka naapa..!!
Kama unaona wanatuzingua kwa nini tusiwapeleke mahakamani?
 
Yaani Barrick alimwe barua wakati madai ya mwanzo yalielekezwa acacia!
Huoni hapo ndio tutaonekana hayawani kabisa kuwa hatujui wa kumdai?
 
Wanabodi,
Leo zikiwa zimabaki siku 4 kufikia deadline ya Barrick kutangaza nia ya dhati ya kuinunua Acacia kwa fedha kiduchu, ambapo deadline ni tarehe 9 July, kampuni ya Acacia inazidi kujitutumua, ili kuonyeshea Barrick kuwa ina thamani kubwa, inastahili kununuliwa kwa dau kubwa, ili angalau Barrick aongeze dau kabla ya hiyo Julai 9.

Leo asubuhi Acacia wametoa press release kuonyeshea thamani ya mgodi wake wa North Mara.

Hii ni taarifa ya Acacia ya leo.

P.
Measured and Indicated (“M&I”) Mineral Resources increased by 63% from 75,000 ounces (“Koz”) of gold at 3.3g/t to 122Koz of gold at 3.6g/t.

Inferred Mineral Resources increased by 65% from 515Koz of gold at 6.5g/t to 849Koz of gold at 5.4g/t

.........................
Kazi tunayo
 
Wanabodi,
Leo zikiwa zimabaki siku 4 kufikia deadline ya Barrick kutangaza nia ya dhati ya kuinunua Acacia kwa fedha kiduchu, ambapo deadline ni tarehe 9 July, kampuni ya Acacia inazidi kujitutumua, ili kuonyeshea Barrick kuwa ina thamani kubwa, inastahili kununuliwa kwa dau kubwa, ili angalau Barrick aongeze dau kabla ya hiyo Julai 9.

Leo asubuhi Acacia wametoa press release kuonyeshea thamani ya mgodi wake wa North Mara.

Hii ni taarifa ya Acacia ya leo.

P.
Pascal utachoka kuhesabu siku wenzako wana mahesabu ya miaka 5 ijayo.
 
Back
Top Bottom