Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,526
- 37,942
We unatumiaga hicho kinywaj kinaitwa poverty
be humble
be humble
Mbona mimi masikini ila sina sifa hizo hapo juu? Napambana kweli kweli nijikwamue kwenye umaskini na marafiki zangu wengi matajiri!
Wenyewe wanajiitaga mamentorWewe ni tajiri?
Hahahha eti matajiri wapo kimya tu wanatuchora!!!Kinachoniuzigi ni masikini anamfundisha masikini mwenzake jinsi ya kuwa tajiri wakati huo
Matajiri wako kimya tu wanatuchora tu.
Matajiri wengi wanaroho ngumu Hata za kutoa kafala watoto na ndugu zao.
Hela ya tajiri uipati ng'o kizembe.... Mpaka uifanyie kazi.
Matajiri wanapiga deal kubwa, wakitusua tayari umasikini bay, mfano, kukwepa kodi, saini mikataba mibovu pata cammision yako ya maana, toza kodi kubwa kisha piga mzigo etc.
Umasikini wa masikini ni woga wake mwenyewe, kupenda haki, na kujifanya ana huruma kwa watu....
Unakuta mtu anapokea mshahara wa laki tano then anatunza ukoo mzima.
Utafanya kazi Mpaka uzeeke.....
Utofauti utaonekana tu, pengine aliyekaa vingunguti miaka mitano iliyopita leo hii anaishi masaki. Ni namna tu ya kila mtu anavyopambana na kuyachukulia maisha.Acha maneno mingi. Anaetaka kujua tofauti ya maskini na tajiri mwambie akae Vingunguti wiki moja na Masaki siku mbili. Tofauti ataijua tu