IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Ni kitu cha kustaajabisha lakini ni kweli kipo
Sema ishu watu wengi hawajagundua na hawajui
Leo nawapa somo...
Kuna wanawake wanazaliwa hawana uke hii ni kawaida uwa inatokea kimaumbile...
Ni wanawake wachache sana inawatokea ili..na,wanakuwa vizuri na wanafikia hatua ya utuhuzina...
Wapo ambao njia zao ni ndogo mno ambapo ni maji peke yanaweza pita namaanisha sehemu ni ndogo na hawa uwa hawablid BT maumbile yao hawawezi kusex na ukifanikiwa kuwa nae utaangaika sana...
Wapo ambao wao wana tundu la mkojo tu peke yake no vagina...
Hizi ni siri ambazo wazazi pekee uwa wanajua na muhusika tu...
Baadhi ya wazazi uwa wanawahi na kufanya operations ambazo uwasaidia na wengine ni ngumu coz ile hali imeanzia mbali tofauti na wale ambao ni ngozi tu uwa umeziba wakifanya operations wanakuwa OK...
Wanawake wa aina hii wana tabia hizi
1.ukimtongoza wanakuwa wakali sana na wagumu hwakubali...wepesi kukutukana
2.huwezi kusikia wanawanaume never.
3.wengi wao hasa marekani na ulaya wanafanya mapenzi kinyume na maumbile...
4.wanapenda kujitenga na wanawake wenzao...
5.uwa Mara nyingi akiwa na rafiki siku zote ushauri wao ni kuwakataa wanaume...
6.wengi wao uwa ni wanene na wanashape nzuri sana wanavutia
NB#Sorry km kuna yeyote nimemkwanza kikubwa ni kupeana elimu tu...