Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,277
5,514
Kuna baadhi yetu tunapenda sana kujua hizi rank za jeshi,pamoja na alama zake!
Lakini wakati mwingine inakua ngumu kuzitambua au kuzijua kutokana na mifumo ya jeshi letu na teknolojia ndogo.

Chini hapa nakuletea picha na file la pdf upate kuzitambua alama na majina na ranks la jeshi letu

military_Page_1.jpg

military_Page_2.jpg
 
Nyota ndio zipi hapo?
Wale wanaovaa mfano wa saa wanasimama wap?
MP anasimama wap kicheo?

Nyota ina anzia Luteni wa pili (nyota moja) na zinaishia kwa Brigedia General.

kwenye Luteni General nyota zinarudi tena. Kuna General wa nyota moja mpaka nne, cheo cha mwisho kabisa jeshini ni Field Marshal ! ambacho kwa Afrika alifanikiwa kuwa nacho Idd Amin Dada wa Uganda !

Wanao vaa saa ni Maofisa wa Askari wa vyeo vya chini (NCO's) maarufu kama 'Sir Major' lakini jina lao kamili ni RSM = Regimental Surgent Major.

M P ni Military Police. Ndani ya jeshi kuna idara ya upolisi na mahakama, na ndio wanao reinforce displine !

Umewahi kuona mwendo wa kwenda mahakama ya kijeshi ?...............very funny !
 
kuna baadhi yetu tunapenda sana kujua hizi rank za jeshi,pamoja na alama zake!
lakini wakati mwingine inakua ngumu kuzitambua au kuzijua kutokana na mifumo
ya jeshi letu na teknolojia ndogo.

chini hapa nakuletea picha na file la pdf upate kuzitambua alama na majina na ranks
la jeshi letu
View attachment 94502View attachment 94503

Nadhani Second Lieutenant wenyewe wanaita Luteni usu.
 
Nyota ina anzia Luteni wa pili (nyota moja) na zinaishia kwa Brigedia General.

kwenye Luteni General nyota zinarudi tena. Kuna General wa nyota moja mpaka nne, cheo cha mwisho kabisa jeshini ni Field Marshal ! ambacho kwa Afrika alifanikiwa kuwa nacho Idd Amin Dada wa Uganda !

Wanao vaa saa ni Maofisa wa Askari wa vyeo vya chini (NCO's) maarufu kama 'Sir Major' lakini jina lao kamili ni RSM = Regimental Surgent Major.

M P ni Military Police. Ndani ya jeshi kuna idara ya upolisi na mahakama, na ndio wanao reinforce displine !

Umewahi kuona mwendo wa kwenda mahakama ya kijeshi ?...............very funny !

Sir Major si ndo kolokolo?
 
Back
Top Bottom