Zijue Ph.D zinazonyemelea majimbo ya CHADEMA bungeni 2020!

Hapo Mtera naunga mkono hoja
Tatzo kibajaj ni bngwa wa fitna na anakubalika mbaya kabsa,mkiwa ktk bunge lazima kuwe na mbunge ambae anaweza kuwachachafya wapinzan kwako kwa maneno yanayokera na kuumiza bila kuvunja sheria,naona kabsa lusinde ana mudu nafas hyo tena sana tu
 
Profesa Mruma yeye anautaka uenyekiti Wa Chadema kabisa.
 
2020 CCM imedhamiria kutobahatisha kwa kupeleka magarasa katika uchaguzi, hivyo wafuatao ni wale wanaotajwa tajwa kuweza kutwaa baadhi ya majimbo ya upinzani. Dr Tulia ( Mbeya mjini), Dr Mahiga ( Iringa mjini), Prof E Gabriel ( Arusha mjini), Dr Bana ( Kawe), Dr Fenella ( Kibamba), Prof Kitila ( Ubungo), Dr Nundu (Tanga mjini) na Prof Kabudi ( Mtera).......nitarudi!
Dr ndo sehemu kubwa ya viongozi wetu wa awamu hii vipi kuna lipi jipya
 
2020 CCM imedhamiria kutobahatisha kwa kupeleka magarasa katika uchaguzi, hivyo wafuatao ni wale wanaotajwa tajwa kuweza kutwaa baadhi ya majimbo ya upinzani. Dr Tulia ( Mbeya mjini), Dr Mahiga ( Iringa mjini), Prof E Gabriel ( Arusha mjini), Dr Bana ( Kawe), Dr Fenella ( Kibamba), Prof Kitila ( Ubungo), Dr Nundu (Tanga mjini) na Prof Kabudi ( Mtera).......nitarudi!
Bila kusahau profesa maji marefu
 
Kwa Kasheku Musukuma itaenda PhD ipi?
 
Back
Top Bottom