samora10
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 7,608
- 4,821
Hapo hamna wa kushinda hata mmoja.. Mtu pekee anayeweza kushinda kihalali ccm ya sasa ni mwalimu nyerere kama akifufuliwa na tena hata akifufuliwa sijui kama atakubali kubaki ccm hii... Ugomvi wa Kikwete na Lowasa unaigharimu Sana nchi hii, eeeh mungu tusaidie2020 CCM imedhamiria kutobahatisha kwa kupeleka magarasa katika uchaguzi, hivyo wafuatao ni wale wanaotajwa tajwa kuweza kutwaa baadhi ya majimbo ya upinzani. Dr Tulia ( Mbeya mjini), Dr Mahiga ( Iringa mjini), Prof E Gabriel ( Arusha mjini), Dr Bana ( Kawe), Dr Fenella ( Kibamba), Prof Kitila ( Ubungo), Dr Nundu (Tanga mjini) na Prof Kabudi ( Mtera).......nitarudi!