Zijue Ph.D zinazonyemelea majimbo ya CHADEMA bungeni 2020!

2020 CCM imedhamiria kutobahatisha kwa kupeleka magarasa katika uchaguzi, hivyo wafuatao ni wale wanaotajwa tajwa kuweza kutwaa baadhi ya majimbo ya upinzani. Dr Tulia ( Mbeya mjini), Dr Mahiga ( Iringa mjini), Prof E Gabriel ( Arusha mjini), Dr Bana ( Kawe), Dr Fenella ( Kibamba), Prof Kitila ( Ubungo), Dr Nundu (Tanga mjini) na Prof Kabudi ( Mtera).......nitarudi!
Hujitambui hata kidogo na sanasana unachoweza ni kupiga debe lisilo na maslahi kwako na kwa familia yako yaani wale wapigadebe kwenye vituo vya daladala wana nafuu mno!
Yaani hizi phd zilizoshindwa kuproduce chochote kwenye maendeleo yao binafsi na ya jamii wewe unaziona za maana!
Hivi mwananchi wa kule kwenu kijijini uvinza anajua maana ya phd? Zile zilizokuwa kaliua na rungwe na bagamoyo zilkuwa na impact gani positive kwa ccm na wananchi?
Washauri warudi kushika chaki na kukaririsha wanachuo kwani hata hawa waliopo serikalini kwa sasa ni chafya tu na wameshindwa kubadili usomi wao kuwa viwanda!
 
Kwaheri Tanzania yangu
Kwaheri ya kuonana.
 
Unanitukana bure, wananchi wa uvinza wanamtaka Dr Mpango sasa sijui kama wanadhani ni daktari wa mitishamba!
 
2020 CCM imedhamiria kutobahatisha kwa kupeleka magarasa katika uchaguzi, hivyo wafuatao ni wale wanaotajwa tajwa kuweza kutwaa baadhi ya majimbo ya upinzani. Dr Tulia ( Mbeya mjini), Dr Mahiga ( Iringa mjini), Prof E Gabriel ( Arusha mjini), Dr Bana ( Kawe), Dr Fenella ( Kibamba), Prof Kitila ( Ubungo), Dr Nundu (Tanga mjini) na Prof Kabudi ( Mtera).......nitarudi!
PhD za kughushi...Magufuli naye si anayo au...lkn ona ujinga anaofanya!
 
2020 CCM imedhamiria kutobahatisha kwa kupeleka magarasa katika uchaguzi, hivyo wafuatao ni wale wanaotajwa tajwa kuweza kutwaa baadhi ya majimbo ya upinzani. Dr Tulia ( Mbeya mjini), Dr Mahiga ( Iringa mjini), Prof E Gabriel ( Arusha mjini), Dr Bana ( Kawe), Dr Fenella ( Kibamba), Prof Kitila ( Ubungo), Dr Nundu (Tanga mjini) na Prof Kabudi ( Mtera).......nitarudi!
Nundu HANA CHAKE TANGA. Mkitaka jimbo liendelee kuwa upinzani muwekeni huyo mtu
 
Wewe nawe umeona PhD au Prof ndio kitu kitawashtua wananchi sana au? Deliverance haiangalii huyu ni PhD holder au Prof, its something else mkuu.
 
2020 CCM imedhamiria kutobahatisha kwa kupeleka magarasa katika uchaguzi, hivyo wafuatao ni wale wanaotajwa tajwa kuweza kutwaa baadhi ya majimbo ya upinzani. Dr Tulia ( Mbeya mjini), Dr Mahiga ( Iringa mjini), Prof E Gabriel ( Arusha mjini), Dr Bana ( Kawe), Dr Fenella ( Kibamba), Prof Kitila ( Ubungo), Dr Nundu (Tanga mjini) na Prof Kabudi ( Mtera).......nitarudi!
Mtera si kwa yule mpuuzi wa ccm aliyesoma mpaka darasa la nne......by the way kuwa na Ph.D sio ndio kuwa kiongozi bora, uongozi bora ni karama tu mzee.

Hayo magarasa ya ccm hayawezi kuchukua hayo majimbo.
 
2020 CCM imedhamiria kutobahatisha kwa kupeleka magarasa katika uchaguzi, hivyo wafuatao ni wale wanaotajwa tajwa kuweza kutwaa baadhi ya majimbo ya upinzani. Dr Tulia ( Mbeya mjini), Dr Mahiga ( Iringa mjini), Prof E Gabriel ( Arusha mjini), Dr Bana ( Kawe), Dr Fenella ( Kibamba), Prof Kitila ( Ubungo), Dr Nundu (Tanga mjini) na Prof Kabudi ( Mtera).......nitarudi!
Wamwekwisha, ila hizo Phd zitusaidie basi, at least Dr. Tulia naona yuko busy na na maswala ya elimu, hata Prof. Kitila...
Kama Phd au huo u Dr. haumsaidii mwananchi ni kazi bure tu..
 
Unanitukana bure, wananchi wa uvinza wanamtaka Dr Mpango sasa sijui kama wanadhani ni daktari wa mitishamba!
Sikutukani bali nakuambia ukweli ambao hata wewe unaujua ila unajitoa ufahamu na kujijaza itikadi za kijani! Nitajie phd holder mmoja ambaye elimu yake imebadilisha maisha ya mwanakijiji yeyote kuwa bora! Hakuna hata mmoja siyo? Kuna theory inayowacategorize watu na majukumu yao na inamtaja msomi wa kiwango cha juu kuwa watu binafsi wanaopenda kusujudiwa na kusifiwa kwa kupewa viti vya mbele wkati wote na sio creative! Yaani hawawezi kuzibadilisha theories na methodologies kuwa kitu! Sasa wana umuhimu gani hawa huko kijijini?
 
2020 CCM imedhamiria kutobahatisha kwa kupeleka magarasa katika uchaguzi, hivyo wafuatao ni wale wanaotajwa tajwa kuweza kutwaa baadhi ya majimbo ya upinzani. Dr Tulia ( Mbeya mjini), Dr Mahiga ( Iringa mjini), Prof E Gabriel ( Arusha mjini), Dr Bana ( Kawe), Dr Fenella ( Kibamba), Prof Kitila ( Ubungo), Dr Nundu (Tanga mjini) na Prof Kabudi ( Mtera).......nitarudi!

hao wengine sijui, ila ambaye wala asijaribu ni Prof Bana. Hauziki!
 
Sikutukani bali nakuambia ukweli ambao hata wewe unaujua ila unajitoa ufahamu na kujijaza itikadi za kijani! Nitajie phd holder mmoja ambaye elimu yake imebadilisha maisha ya mwanakijiji yeyote kuwa bora! Hakuna hata mmoja siyo? Kuna theory inayowacategorize watu na majukumu yao na inamtaja msomi wa kiwango cha juu kuwa watu binafsi wanaopenda kusujudiwa na kusifiwa kwa kupewa viti vya mbele wkati wote na sio creative! Yaani hawawezi kuzibadilisha theories na methodologies kuwa kitu! Sasa wana umuhimu gani hawa huko kijijini?
Nimekusoma mkuu!
 
Unaijua mipaka ya vijiji wewe?
Manyoni ni wilaya mkoani Singida, imepakana na Wilaya ya Bahi na Wilaya ya Ikungi wakati Mtera iko wilayani Chamwino mkoani Dodoma, imepakana na Dodoma Manispaa na Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma ikipakana na Iringa. Wilayani ya Manyoni ina majmbo mawili; Manyoni mashariki inapakana na Dodoma na Manyoni Magharibi inayofika hadi Itigi na kutokea Tabora na kaskazini yake inapakana na Wilaya ya Ikungi.

Vv

Mimi nimefika huko kote, kama huamini hiyo mipaka chukua Atlasi au tazama kwenye ramani ya Tanzania.
 
2020 CCM imedhamiria kutobahatisha kwa kupeleka magarasa katika uchaguzi, hivyo wafuatao ni wale wanaotajwa tajwa kuweza kutwaa baadhi ya majimbo ya upinzani. Dr Tulia ( Mbeya mjini), Dr Mahiga ( Iringa mjini), Prof E Gabriel ( Arusha mjini), Dr Bana ( Kawe), Dr Fenella ( Kibamba), Prof Kitila ( Ubungo), Dr Nundu (Tanga mjini) na Prof Kabudi ( Mtera).......nitarudi!
Dr Charles kimei(vunjo)
 
Back
Top Bottom