Zijue Ph.D zinazonyemelea majimbo ya CHADEMA bungeni 2020!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,873
2020 CCM imedhamiria kutobahatisha kwa kupeleka magarasa katika uchaguzi, hivyo wafuatao ni wale wanaotajwa tajwa kuweza kutwaa baadhi ya majimbo ya upinzani. Dr Tulia ( Mbeya mjini), Dr Mahiga ( Iringa mjini), Prof E Gabriel ( Arusha mjini), Dr Bana ( Kawe), Dr Fenella ( Kibamba), Prof Kitila ( Ubungo), Dr Nundu (Tanga mjini) na Prof Kabudi ( Mtera).......nitarudi!
 
Kati ya watu walio haribu hili Taifa ni hawa wanao itwa ma prof na ma dr. Tunawajua tunawasubiri. Labda Ccm wana kura zao mfukoni. Kwa wananchi tunajua wa kuwachagua
 
2020 CCM imedhamiria kutobahatisha kwa kupeleka magarasa katika uchaguzi, hivyo wafuatao ni wale wanaotajwa tajwa kuweza kutwaa baadhi ya majimbo ya upinzani. Dr Tulia ( Mbeya mjini), Dr Mahiga ( Iringa mjini), Prof E Gabriel ( Arusha mjini), Dr Bana ( Kawe), Dr Fenella ( Kibamba), Prof Kitila ( Ubungo), Dr Nundu (Tanga mjini) na Prof Kabudi ( Mtera).......nitarudi!

Unaweweseka muulize mahiga kura za maoni tu 2015. Mahiga akisimama na Msigwa yaani msigwa hata jisumbua hata kupiga kampeni
 
2020 CCM imedhamiria kutobahatisha kwa kupeleka magarasa katika uchaguzi, hivyo wafuatao ni wale wanaotajwa tajwa kuweza kutwaa baadhi ya majimbo ya upinzani. Dr Tulia ( Mbeya mjini), Dr Mahiga ( Iringa mjini), Prof E Gabriel ( Arusha mjini), Dr Bana ( Kawe), Dr Fenella ( Kibamba), Prof Kitila ( Ubungo), Dr Nundu (Tanga mjini) na Prof Kabudi ( Mtera).......nitarudi!
Na Bana apewe jimbo?
 
Back
Top Bottom