Zijue Ph.D zinazonyemelea majimbo ya CHADEMA bungeni 2020!

Zijue Ph.D zinazonyemelea majimbo ya CHADEMA bungeni 2020!

2020 CCM imedhamiria kutobahatisha kwa kupeleka magarasa katika uchaguzi, hivyo wafuatao ni wale wanaotajwa tajwa kuweza kutwaa baadhi ya majimbo ya upinzani. Dr Tulia ( Mbeya mjini), Dr Mahiga ( Iringa mjini), Prof E Gabriel ( Arusha mjini), Dr Bana ( Kawe), Dr Fenella ( Kibamba), Prof Kitila ( Ubungo), Dr Nundu (Tanga mjini) na Prof Kabudi ( Mtera).......nitarudi!

NUndu Tanga hata akiwekewa Jiwe ashindi same as tulia Mbeya nawengineo wengi hapo.
 
Arusha, Iringa na Mbeya mjnni hawatakubali kupangiwa.hata mkenya akija tutamchagua
Kwa Arusha mjini tutachagua hata Paka Shume kuliko ccm. Naona gamboshi anapiga tizi la hatari. Aibu ni juu yao
 
Kwa Arusha mjini tutachagua hata Paka Shume kuliko ccm. Naona gamboshi anapiga tizi la hatari. Aibu ni juu yao
Gamboz amesha ona mziki ni mkubwa hivi sasa anaandaa jimbo lake amwshaona hatatoboa. Kaamua kuandaa jimbo lake kimya kimya.... Japo hata kama ni kweli nalo pia hatapata kitu...
 
Wananchi hatuangalii Ph.D tunangalia uwezo, urafiki, ukanda, upendo. Mbona Musukuma na Lakairo waliwashinda wenye digrii?.
 
Mahakama ya Kenya ilifuta uchaguzi wa Rais ,nategemea Mahakama ya Tanzania nayo ifute huu uhuni wa Kinondoni ili tujue kweli tuna Mahakama
 
Back
Top Bottom