Huwezi kuwafahamu walokole wa kweli maana wapo kila dhehebu hadi RC. Hivyo hiyo sifa uliyotoa wewe ni ya madhehebu wanayojiita walokole. Maandiko yanasema "Bwana awajua walio wake"Walokole hapa namaanisha watu wenye sifa zifuatazo: waliotubu dhambi zao na kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wao, waliobatizwa ubatizo wa maji mengi na kujazwa Roho Mtakatifu. Ibada zao zina shangwe ya kiroho, kunena kwa lugha, shuhuda za miujiza na uponyaji, na mahubiri/mafundisho yanayohimiza utakatifu.
Nchi zenye Walokole wengi kwa idadi ni hizi hapa:
Marekani(USA): Walokole takriban milioni 49
Brazil: Walokole ~milioni 34.
Nigeria: Walokole ~milioni 25
Philippines: Walokole ~milioni 22
India: Walokole ~milioni 18.4
South Africa: Walokole ~milioni 17.7
Zimbabwe: Walokole ~milioni 5.4
Idadi ya walokole duniani inakadiriwa kuwa karibu milioni 280. Idadi hii ni ndogo lakini inaonyesha ukweli wa maneno aliyosema Yesu katika Mathayo 7:14
"Bali mlango ni mwembamba, na njia imebana iendayo uzimani, nao waionao ni wachache."
====================
Kwa mujibu wa Ripoti za Gordon‑Conwell, idadi ya Wakristo wote duniani ni takriban bilioni 2.6. Idadi hii ni kubwa lakini inasikitisha kwa sababu wengi wao wana majina tu ya kikristo lakini hawayafanyi mapenzi ya Mungu. Yesu alisema:
"Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika Ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.” (Mathayo 7:21)
Wanawahesabu vipi hao walokole maana imani hasa kama walokole ni kila mtu anayemwamini bwana kuwa mwokozi wa maisha yako basi wewe ni mlokole..Walokole hapa namaanisha watu wenye sifa zifuatazo: waliotubu dhambi zao na kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wao, waliobatizwa ubatizo wa maji mengi na kujazwa Roho Mtakatifu. Ibada zao zina shangwe ya kiroho, kunena kwa lugha, shuhuda za miujiza na uponyaji, na mahubiri/mafundisho yanayohimiza utakatifu.
Nchi zenye Walokole wengi kwa idadi ni hizi hapa:
Marekani(USA): Walokole takriban milioni 49
Brazil: Walokole ~milioni 34.
Nigeria: Walokole ~milioni 25
Philippines: Walokole ~milioni 22
India: Walokole ~milioni 18.4
South Africa: Walokole ~milioni 17.7
Zimbabwe: Walokole ~milioni 5.4
Idadi ya walokole duniani inakadiriwa kuwa karibu milioni 280. Idadi hii ni ndogo lakini inaonyesha ukweli wa maneno aliyosema Yesu katika Mathayo 7:14
"Bali mlango ni mwembamba, na njia imebana iendayo uzimani, nao waionao ni wachache."
====================
Kwa mujibu wa Ripoti za Gordon‑Conwell, idadi ya Wakristo wote duniani ni takriban bilioni 2.6. Idadi hii ni kubwa lakini inasikitisha kwa sababu wengi wao wana majina tu ya kikristo lakini hawayafanyi mapenzi ya Mungu. Yesu alisema:
"Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika Ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.” (Mathayo 7:21)
NABII MTARAJIWA unaelewa maana ya neno "takriban?" au alama hii: " ~"?? Idadi iliyotajwa hapo sio idadi kamili.Huwezi kuwafahamu walokole wa kweli maana wapo kila dhehebu hadi RC. Hivyo hiyo sifa uliyotoa wewe ni ya madhehebu wanayojiita walokole. Maandiko yanasema "Bwana awajua walio wake"
Ukiiangalia hiyo list utabaini kwa kiasi kikubwa waliopelekewa hizi porojo ndio wako busy nazo kuliko waliozitunga na kuzikuzaWalokole hapa namaanisha watu wenye sifa zifuatazo: waliotubu dhambi zao na kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wao, waliobatizwa ubatizo wa maji mengi na kujazwa Roho Mtakatifu. Ibada zao zina shangwe ya kiroho, kunena kwa lugha, shuhuda za miujiza na uponyaji, na mahubiri/mafundisho yanayohimiza utakatifu.
Nchi zenye Walokole wengi kwa idadi ni hizi hapa:
Marekani(USA): Walokole takriban milioni 49
Brazil: Walokole ~milioni 34.
Nigeria: Walokole ~milioni 25
Philippines: Walokole ~milioni 22
India: Walokole ~milioni 18.4
South Africa: Walokole ~milioni 17.7
Zimbabwe: Walokole ~milioni 5.4
Idadi ya walokole duniani inakadiriwa kuwa karibu milioni 280. Idadi hii ni ndogo lakini inaonyesha ukweli wa maneno aliyosema Yesu katika Mathayo 7:14
"Bali mlango ni mwembamba, na njia imebana iendayo uzimani, nao waionao ni wachache."
====================
Kwa mujibu wa Ripoti za Gordon‑Conwell, idadi ya Wakristo wote duniani ni takriban bilioni 2.6. Idadi hii ni kubwa lakini inasikitisha kwa sababu wengi wao wana majina tu ya kikristo lakini hawayafanyi mapenzi ya Mungu. Yesu alisema:
"Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika Ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.” (Mathayo 7:21)
Achana na mambo ya Roman fata ya marekani we mama vipi ?NABII MTARAJIWA unaelewa maana ya neno "takriban?" au alama hii: " ~"?? Idadi iliyotajwa hapo sio idadi kamili.
By the way, huyo mlokole unayesema yupo RC, alibatizwa ubatizo wa maji mengi na Padre yupi?
Kitendo cha kumfikiria mtu ataenda au haendi ni kujidanganyaHao ndo wataingia mbinguni mke wake na secretarybird
JE zile kabila kumi na mbili za Israel zilizoahidiwa mbingu ni zipi ?
Kwahiyo wachaga hatutaona ufalme wa Mungu? cc min -me
Tutaruka naeTunaomba baadae uwaseme vibaya walevi
Ninyi walokole ndo mnajikuta special group la kwenda mbinguni ndo maana nimeuliza mmeshaokoka hamna madhambiKitendo cha kumfikiria mtu ataenda au haendi ni kujidanganya
Hujui Uhusiano wa mtu na Mungu kiundan
Cha msingi Omba uishi kwenye njia nzuri
Hata wanaotenda mema bado kuna makosa wanayafanya
wengi na sitaki UnafkiNinyi walokole ndo mnajikuta special group la kwenda mbinguni ndo maana nimeuliza mmeshaokoka hamna madhambi