Zijue aina kuu 2 za misukule

Zijue aina kuu 2 za misukule

Hivi siku mtu akichukuliwa msukule hakuna hata mtu mmoja anaekuja kwenye msiba hashtukii mchezo uliofanyia,au wachawi,waganga na wenye makarama huwa wanashirikiana ?
Je huyo mtu kafa au hajafa? Kama kafa msiba lazima uwepo sasa kama umeshtukia ni kifo cha kimsukule maana yake maiti ni gogo na aliyekufa yupo hapo hapo msibani cha kufanya ni kuwaumbua hao wachawi hapo msibani.
 
Misukule ya tatu ni mabunge ya ccm yanayopanga kuvunja katiba ili yamlazimishe jiwe afie ikulu mbaya zaidi yanaongozwa na jtu fupi shotii andunje ndugali
Bila kuimba kwaya wataonekana vipi kwenye teuzi, kumbuka mwenye chama ndie mwenye maamuzi Nani agombee Nani asigombee
 
Je huyo mtu kafa au hajafa? Kama kafa msiba lazima uwepo sasa kama umeshtukia ni kifo cha kimsukule maana yake maiti ni gogo na aliyekufa yupo hapo hapo msibani cha kufanya ni kuwaumbua hao wachawi hapo msibani.
Tatizo huwa hawaumbui mtu
 
somo lako linatufundisha nini?
Bila shaka umeelewa sasa!
FB_IMG_1591792796819.jpg
 
Je huyo mtu kafa au hajafa? Kama kafa msiba lazima uwepo sasa kama umeshtukia ni kifo cha kimsukule maana yake maiti ni gogo na aliyekufa yupo hapo hapo msibani cha kufanya ni kuwaumbua hao wachawi hapo msibani.
Kwanza wenye uwezo wa kuona ni makonki, sio una uchawi wako wa buku jero huwezi gundua kitu. Na ukiwaumbua lazima ufe si kwa siku ile labda na wewe uwe konki utapona
 
Kwanza wenye uwezo wa kuona ni makonki, sio una uchawi wako wa buku jero huwezi gundua kitu. Na ukiwaumbua lazima ufe si kwa siku ile labda na wewe uwe konki utapona
Upo sahihi mkuu maana majini yao ni makali balaa kwaiyo inabidi uwe mpambano wa kufa au kupona!
 
Hivi wachawi awamuoni jiwe kweli?. Uchawi haupo aisee.
 
Hivi huwa mnajuaje haya jamani???
Mkuu, hilo jina lako umenikumbusha mbali sana, Mtabila Kigoma 2015

🎶🎶 nalia ngwena na ngwena, nalia ngweeeena nalia ngwena na ngwena nalia ngwena🎶🎶🎶

Dah umenikumbusha mbali sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom