Mimi mbona nashindwa kuamini mambo haya
Na akili za kiccm huwezi kuelewa kamwe
Ahaaa misukule ya ccm. Na watu wanafikiri ni utani. Nimewahi kusikiliza ushuhuda ya mchawi lakini alikuwa zaidi ya mchawi tuseme ni "freemason" kwa jinsi watu wanavyoelewa, anasema watu wengi hulogwa wakati wa kupiga kura na pale maelfu ya majini yanapoachiliwa ili kupumbaza watu na hujikuta wakipiga kura bila kuwa na akili zao wenyewe. Akasema amefanya kazi nyingi kwa viongozi wa siasa waliopo leo na alikuwa analipwa mamilioni. Leo ameokoka na enaendelea kufichua siri nyingi sana. Hivyo misukule ya ccma ni kweli ipo manake huwezi kuamini kwanini watu wanaendekeza chama chenye zaidi ya miaka 60 sasa katika hali kubwa ya umaskini.Misukule aina ya nne ni wapiga kura wa chama chakavu!