[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasubiri la upande wa pili hivyooo[emoji28]
Asante kwa kutambua iloAisee kuwa mwanamke raha sana yaani kila mambo mabaya na mambo mazuri lazima yanakuwa upande wetu.
Hongereni wanaume kwa kuwa sehemu ya malaika mlioko duniani.
Kabisa my ila ndio huwa nashangaa iweje mapungufu yetu wayape majina ya kila aina.Kabisa maana hakuna binadamu asie na mapungufu la msingi ni uvumilivu na kuchukuliana
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah Wapi? Malaika wako zao juu. Huku wote tuna kasoro.Asante kwa kutambua ilo
Mbona unaaza kujihami, kitu unachotakiwa kufanya nikujiangalia upo namba gani nakuanza kufanya masahihisho kama yapo, la kama hakuna unachangia hoja , maana hoja iliyopo mezani ni aina kumi za wanawake na si wanaumeKwa nini msiwe malaika kama mwanamke mmeshamfanya jalala.Wakati kuna baadhi ya wanaume wana tabia ambazo hazifai hata kwa kurumangia.
Uzuri wanawake tumejaliwa uvumilivu mbali na kasoro zote mnazotupa bado tunaendelea kuwa walezi wenu.
Napita mamy kimyakimya.Kabisa na wapambane nazo haswa.
Sijambo mdogo wangu miss u sana. Kulikoni adimu hivi?
Wewe unaweza kuwa mke kiranja. Hapa tunachangia mada wewe unaanza kujilinganiisha tena. Wanaume pia wana aina zao subiri nyuzi utaona tuu. Wanawake mnashindwa kila siku kwa kutaka kujilinganisha kila. Utofauti wa mwanamke na mwanaume upo tuu. Ila wanawake wa siku hizi hamtambui hilo na hii inatokana na watoto wengi siku hizi kutokea kwenye familia ya single momAisee kuwa mwanamke raha sana yaani kila mambo mabaya na mambo mazuri lazima yanakuwa upande wetu.
Hongereni wanaume kwa kuwa sehemu ya malaika mlioko duniani.
Mbona unaaza kujihami, kitu unachotakiwa kufanya nikujiangalia upo namba gani nakuanza kufanya masahihisho kama yapo, la kama hakuna unachangia hoja , maana hoja iliyopo mezani ni aina kumi za wanawake na si wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu kitu unachotakiwa kufanya ni kutulia na kutafakari usisema hakuna hata moja basi wewe ni malaika kama ulivyo semaHahaaaa. Sawa mkuu ila hata sijajihami mbona.
Na katika hizo zote kumi hakuna hata yenye kunigusa hapo. [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msema kweli ni mpenzi wa Mungu kitu unachotakiwa kufanya ni kutulia na kutafakari usisema hakuna hata moja basi wewe ni malaika kama ulivyo sema
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu imenibidi nirudi niangalie tabia za mke kiranja zikoje. Hahaaa.Wewe unaweza kuwa mke kiranja. Hapa tunachangia mada wewe unaanza kujilinganiisha tena. Wanaume pia wana aina zao subiri nyuzi utaona tuu. Wanawake mnashindwa kila siku kwa kutaka kujilinganisha kila. Utofauti wa mwanamke na mwanaume upo tuu. Ila wanawake wa siku hizi hamtambui hilo na hii inatokana na watoto wengi siku hizi kutokea kwenye familia ya single mom
Yaan hata namba kumi ya mke mwema haumo mama.....sasa itakuwa ipiHahaaaa. Sawa mkuu ila hata sijajihami mbona.
Na katika hizo zote kumi hakuna hata yenye kunigusa hapo. [emoji124] [emoji124]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Yaan hata namba kumi ya mke mwema haumo mama.....sasa itakuwa ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Baki na mimi bhanaaa[emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakugawa aisee.
Hivi wewe upoooAsante kwa kutambua ilo
Asante kwa kumjibuMwanaume hakosei ukiona kakosea ujue nyuma yake kuna mwanamke
Mkuu umenifurahisha kwa kweliYaani hii thread nai subscribe, na ikifika wakat wa jumuiya jmos, wakati wa kuchangia neno la Mungu, haijalish ni neno gan limesomwa, ikifika zamu yang nafunua simu, thread nitaisoma kama muandika mada alivyoanza, then namaliza, wapwendwa watajiju. Maana jumuiya yetu kuna madem weng halaf shobo sana
Sent using Jamii Forums mobile app